Mufindi: Katibu wa CCM wa Wilaya na Mwenezi wake wanakivuruga Chama

Wakorinto 15

New Member
Apr 16, 2021
1
0
Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bi. Frida Kaaya na Mwenezi wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bwana Dickson Villa wanakivuruga Chama Mufindi kutokana na mahusiano ya kimapenzi waliyo nayo wawili hao

Wanakibomoa Chama Mufindi huku wakishirikiana kutafuna pesa za Chama kinyume na Maadili ya CCM wanapokea fedha mkononi kinyume na taratibu za fedha za Chama.

Hivi juzi juzi wamekula njama kuvuruga uchaguzi Jimbo la Mufindi Kusini kwa kushtaki Kamati ya siasa ya Wilaya mkoani. Wamejaribu kupanga safu za uongozi Jimbo la Mufindi Kusini ili kuandaa mazingira ya Villa kuwa Mbunge wameshindwa wameamua kuvuruga uchaguzi.

Huyu Katibu amekuwa na majibu mabaya na lugha za matusi kwa viongozi wa chini wa CCM. CCM Makao Makuu toeni watu hawa upesi kabla watu hawajawanyosha ni kero kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom