johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,882
- 141,813
Tuzo ya Babacar Ndiaye hutolewa na AFDB kwa mkuu wa nchi ambaye Serikali yake imefanya vizuri katika ujenzi wa Miundombinu.
Rais Samia na Serikali ya Awamu ya 6 anayoiongoza ndio washindi wa mwaka 2022
Tuko mubashara ITV
Update!
Rais Samia na Serikali ya Awamu ya 6 anayoiongoza ndio washindi wa mwaka 2022
Tuko mubashara ITV
Update!