NA MWANDISHI WETU
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji wa Nandete uliopo wilayani Nanyumbu...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za...
=======
Rais Samia akipokea Kombe
Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee,
Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo...
Leo Mhe Rais amemteua Mhe Humphrey Polepole kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Ikumbukwe kuwa Mhe Polepole Kwa siku za hivi karibuni alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya...
Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi
Akizindua Mpango...
Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea...
Pole na majukumu
Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano.
Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka wakuu wa mikoa kote nchini wenye wakulima wa korosho kuacha urasimu na kuharakisha usambazaji na ugawaji wa...
Wananchi mbalimbali wanaotaka katiba mpya wameshtushwa na ubaridi wa ghafla wa chama cha Demokrasia na maendeleo (ChADEMA) katika kudai katiba mpya.
Watu hao wanasema walikuwa na tumaini kubwa...
Wanabodi, mtu wenu mwanampotevu na mkaa kimya nimerudi.
Wasalaam!
Nimefanya utafiti na ufuatiliaji wa kwa nini nchi za Afrika kama Tanzania tumekwama katika dimbwi LA umasikini huku kila...
Wakuu Kwema?
Mimi kwa kiasi fulani ni mdau wa mafuta, kwani hapo kabla miaka ya nyuma nilishawahi kufanya kazi katika kampuni ya mafuta Kwa kama miaka kadhaa Hivi
Hivi karibuni Mbunge wa Gairo...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi...
Shahidi wa 6 katika kesi ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha haramu na kumiliki Genge la Uhalifu inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya {35} na...
Mhe.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akipokea tuzo aliyozawadiwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Pan African Women Organization (PAWO) kwa kutambua...
Rais wa Senegal ameelekea Moscow kukutana na Rais Putin.ili amshawishi aendelee kuachilia nafaka na mbolea zije Afrika.
Kwa kiasi kikubwa bara la Afrika linategemea Nafaka na mbolea kutoka...
Wadau naomba kutoa maoni yangu juu ya jinsi nchi inavyokwenda.
Wakati tukiendelea kutafakari namna ya kupata Katiba Mpya ya wananchi, vp mnaonaje kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 vyama vyote...
Wapo watu kwa Ujinga walio nao au kupotoshwa na watu wehu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu juu ya maana ya Uzalendo. Ukiwasikiliza wanasema Magufuli alikuwa mzalendo wanataja sababu kuwa amejenga...
Hebu tuwe realistic kidogo, kuna usemi ambao wote tumeukuta, Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
Sio siri kuwa sasa hivi nguvu kubwa inatumika kumsifu Rais Samia hata akikohoa tuu. Tatizo liko...
Wakuu,
Waziri wa fedha alitangaza tozo zilizopitishwa na Bunge letu,na kujinasibu kuwa tumekusanya fedha nyingi Sana za tozo.
Kwa kuwa lengo la tozo hizi zilikuwa kujenga madarasa na vituo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.