Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,397
- 289,531
Thread 'Ole Sabaya hali tete. Aandaliwa Mashitaka mapya, Ushahidi Nje nje' Ole Sabaya hali tete. Aandaliwa Mashitaka mapya, Ushahidi Nje nje
AminaMungu ibariki TANZANIA
Naunga mkonoSabaya anatakiwa kuwa rais wa nchi hii ili wajinga wote mshike adabu zenu.
Kuhusu nini?Raia mwema walitulisha uongo kuhusu bashite.
Unaunga mkono hoja Sabaya kuwa Rais? Sabaya huyuhuyu?? Au unatania?Naunga mkono
Waliyokuwa wakiandika kuhusu kesi ya Bashite haikuendana na uhalisia na ndio maana imeishia hewani.kuhusu nini ?
Mohamed Said - Ngoma ya Lelemama na taarabu - Tumkumbuke marehemu bi. Dharura Bint Abdulrahman mwanamama mwana-TANU mpigania uhuru
SwadaktaKATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI
Ile hali pale Serena Hotel inatia matumaini kuwa yaweza kuwa mambo haya yakatimilika.
Historia iliyoandikwa kuhusu jambo kubwa kutokea kwanza ujumbe hutumwa kwa meseji siri/ coded message kwa kuandaliwa hafla itakayojumuisha wanasiasa na wanaharakati hutumia matukio kama ngoma za lelemama, taarabu au muzuki wa dansi n.k kama sehemu ya wanaotaka mabadiliko kukutana na kisha kukubaliana kutekeleza mageuzi.
Nisome ndani ya mistariUnaunga mkono hoja sabaya kuwa raisi? Sabaya huyuhuyu?? Au unatania?
Swadakta
Duuh JPM alishusha hadhi ya uraisSabaya anatakiwa kuwa rais wa nchi hii ili wajinga wote mshike adabu zenu.
Aiseeee !!!
Ujumbe tayari umetumwa wale wakutokea genge lile hawajui 'maana' kuwa watoto wa mjini pamoja na wazee wa klabu ya Saigon washafanya yao imebaki kutangazwa tu.
Komandoo naye achana mistari mikali
ujumbe hutumwa kwa meseji siri/ coded message kwa kuandaliwa hafla itakayojumuisha wanasiasa na wanaharakati kutumia matukio kama ngoma za lelemama, taarabu ,muziki wa dansi n.k kama sehemu ya wanaotaka mabadiliko kukutana kisiri na kisha kukubaliana kutekeleza mageuzi.
Asante sanaMohamed Said mwanahistoria nguli jukwaa la historia JF ana andika : bofya hapa chini :
Sabaya anatakiwa kuwa rais wa nchi hii ili wajinga wote mshike adabu zenu.