Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na...
Mimi nilipiga kelele mno kipindi cha Hayati Magufuli akiwepo kuwa kitengo cha Financial Unit Intelligence yaani FIU kinaonea Watanzania sana kufunga akaunti zao kwa pesa toka nje na hatua zao...
Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe.
Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya Serikali kuwa imetoa tangazo bungeni.
Soma...
Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii...
Mnaopanga kumshtaki Mh. Sana Bashite msipoteze muda wenu huyo bwana hakuna wa kumshtaki kwa sasa katika nchi hii na ukifanikiwa kumshtaki kushinda hiyo kesi ni ndoto za mchana.
Hebu ni wakumbushe...
Wakati Umefika sio kwa CCM TU bali kwa VYAMA VYOTE vya SIASA kuwa na VIONGOZI WASOMI na Wenye VYETI vya TAALUMU badala ya sasa Mtu anachaguliwa ili Mradi Kaomba hiyo Nafasi na ana FEDHA za...
Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani
Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni...
Hakuna vya uchumi wa kati Wala uchumi wa nini. Magufuli alijitapa anajenga mega projects kwa pesa za ndani kumbe alikopa Sana,
SSH akasema anajenga uchumi na hataki Mambo ya katiba, kumbe...
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.
Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi...
Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha.
Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba...
Kuna dalili na viashiria vingi baadhi watu au vikundi vya watu vinazidi kupata nguvu kuliko taifa lenyewe. Yaani mchezaji anakuwa mkubwa kuliko timu kwa lugha nyepesi.
Kuna kiwanda cha...
Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi...
Askofu wa jimbo katoliki la Rulenge Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amesema jamii imejaa uasi kutokana na kuongezeka kwa maovu yanayotekelezwa na baadh ya wanajamii.
Akiongea katika ibada ya...
Pamoja na kuwa serikali yetu inatumia fedha nyingi kujenga na kuboresha miundombinu ya usafiri na hasa Hapa Dar Es salaam lakini bado wataalamu wetu wanazingua sana kwenye planing.
Kwenye ujenzi...
Wanabodi kwa jinsi ilivyo duniani vyeo tulivyonavyo ni mamlaka ya muda tu Bado utu wetu na nidhamu ni muhimu sana hakuna haja ya kupandisha mabega na kujipa umungu mtu hata tuwe na elimu ya aina...
Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii
Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu.
Pia hii sh. 357...
Mwanza. Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Ezra Chiwelesa ameiomba serikali kubadilisha jina la Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa Burigi ili kusadifu jina la ilipo hifadhi hiyo.
Hifadhi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.