JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba"



Enzi za utawala wake:

0FC592F1-255A-42DF-869D-06742682E54F.jpeg
 
Chifu Mrisho Kikwete 1956 alihudhuria mafunzo ya Uongozi Nchini Uingereza akiimarishwa kielimu kwny Kazi yake ya Ukuu wa Wilaya nafasi iliyokuwa ya juu zaid kupewa Mtu mweusi wakati wa Ukoloni

1965 akawa Naibu Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba yaliyofuta Vyama vingi Tanzania

Ma Chief wengi walikuwa Wasaidizi wa utawala wa kikoloni

Machif wa Mchongo wa sasa hivi wanafanana role na wale waliokuwepo kabla ya uhuru
 
tangazo lilifuta Mamlaka ya kisheria ya Uchifu lakini Mamlaka ya kiutamaduni yaliendelea hata wakati wa Nyerere

Chifu Abdallah Said Fundikira alikuwa Waziri kwny Serikali ya Nyerere baada ya kufutwa Uchifu lakin bado aliendelea kuwa Chifu wa Wanyamwezi na Ali chair sherehe hizo na wakati mwingine zikihudhuriwa na Viongozi wengine wa kisiasa

Hivyo hivyo kwa Chief Adam Sapi Mkwawa hadi anafariki 1994 aliendelea kuwa Chief wa Wahehe na akiwa Mkuu wa mhimili wa Sheria kwa maana ya Bunge


tuambieani ni chief gani kishawahi kushtakiwa kwa kuendelea kuwa chief na kusimamia mambo ya kiutamaduni baada ya tangazo hilo?
SAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!

She is such a lightweight. No brains.

Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa ??
 
pia Tafsiri ya udini na vigezo vya mtu kuwa Mdini viwekwe wazi

mtu akikuta Kiongozi wa Serikali anavaa hijabu kisheria anaitwa Mdini, Mtu akiwa anavaa rozali kubwa ofisin anaitwa Mdini
Ila kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.

CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.

Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.
 
Ila kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.

CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.

Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.

Wewe mpuuzi kubwa umekula kwanza kazi kubwabwaja tu,Chadema wanahusikaje Kwenye huu uchifu Mh.Kikwete kataja chadema hapo?
 
Back
Top Bottom