Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
3,970
2,005
Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani!

Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya TANESCO.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena.

Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali!

SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndio maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali.
Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
 
Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,625
4,495
Nionavyo ni Wa-TZ kuhadaika kiurahisi na kelele za Bungeni. Yaani Bashe anasimulia mambo utadhani ana niya njema. Anajidai kusimulia shida za mkulima ambazo zinafahamika miaka yote na bado anasifiwa. Nyuma yake ana lake jambo. Nimeona aliamua kusimulia mambo ya bei ya mbolea lakini hasemi kwa nini analeta benki ya ushirika wakati benki ya wakulima ipo. ni mpotoshaji tu!
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
12,866
18,553
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco. Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara. Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Baba yenu alijidekeza kufanya kila kitu mwenyewe, kafa na hakuna aichokikamilisha.
Biashara na ajira nyingi zilikufa, wafanyabiashara waliporwa mchana kweupe na serikali(Task Force za TRA).

Nyie manundu mlifurahia ama hamna akili nzuri, sasa tuna mtu mweye akili Chamwino.
Mnafikiri maisha ni lelemama kwa kutaka kutukuzwa "unyonge", na ninyi kutaka kupewa vya bure.
 
Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,136
2,636
Katika Afrika Tanzania ndo nchi inayotolewa mfano wa ubovu wa sekta binafsi kushirikiana na serikali. Na mfano wa upuuzi huo ni mradi wa IPTL. Sasa tena yanakuja kwa ksisingizio cha uwezo mdogo na bhla!-bhla! Yaonekana uswahili na ujinga hautakwisha na hakika shida kubwa ni hiyo! Kila rais anataka awe mfanyabiashara. Niliwahi sikia akiwa ni makamu bado alikuwa akipiga za wafanyabiashara na kuwalinda. Sasa ana makucha yake mazuri, tutakoma.
 
Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,457
9,899
Baba yenu alijidekeza kufanya kila kitu mwenyewe, kafa na hakuna aichokikamilisha.
Biashara na ajira nyingi zilikufa, wafanyabiashara waliporwa mchana kweupe na serikali(Task Force za TRA).

Nyie manundu mlifurahia ama hamna akili nzuri, sasa tuna mtu mweye akili Chamwino.
Mnafikiri maisha ni lelemama kwa kutaka kutukuzwa "unyonge", na ninyi kutaka kupewa vya bure.
Umesema kweli ila kuhusu Task force bado zipo sema sasa hivi hawapori ila wanapenda sana rushwa, mkishindana unabaki na deni
 
Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
1,679
5,548
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco. Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara. Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Umeandika mengi kama hisia zako au chuki binafsi kwa private sector hujaonyesha hatari iliopo wakishirkiana na sector binfsi.....kwa information yako serikali yoyote ya maana haiwezi kufanikiwa bila private sector
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
8,856
5,002
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco. Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara. Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Mtazamo wa samia ni kuwapromote fisadi kama eti ni wawekezaji binafsi. Watanzania tuwe tayari kumpinga samia kwani ni agent wa wafanyabiashara fisadi. Muwekezaji anawekeza miradi yake sio kudandia miradi ya umma mikubwa kama sgr na bwawa la nyerere afaidike bure kwa uwekezaji wa umma huku risk inabebwa na serikali. Lazima tusimame imara kuwatimua wezi wa umma.
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
28,985
59,038
Baba yenu alijidekeza kufanya kila kitu mwenyewe, kafa na hakuna aichokikamilisha.
Biashara na ajira nyingi zilikufa, wafanyabiashara waliporwa mchana kweupe na serikali(Task Force za TRA).

Nyie manundu mlifurahia ama hamna akili nzuri, sasa tuna mtu mweye akili Chamwino.
Mnafikiri maisha ni lelemama kwa kutaka kutukuzwa "unyonge", na ninyi kutaka kupewa vya bure.
Mtoa mada Ni type za kina bashiru,polepole na sabaya
 
Xkalinga

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
468
311
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Haya uliyoandika umejifunzia wapi???
 
Xkalinga

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
468
311
Nakumbuka hata Obama alivyotembelea bongo aliambatana na ujumbe wa wafanya biashara lukuki....Nchi zinaendeshwa na fedha, kama usipokuwa jirani na wafanyabiashara au kuwatengenezea mazingira wezeshi watafanyaje hizo biashara na kulipa kodi au mirabaha???Wafanya biashara sio maadui kwa serikali kama wengine walivyojaribu kuwaaminisha watanzania. Lets think positive sio kila muda kuwaza negatively.
 
Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
10,855
5,222
Sema dah! nimekumbuka kipindi cha Kikwete mwanzoni nilijawa na matumaini makubwa sana kwenye nchi yangu kwa ujumla...hari mpya nguvu na kasi mpya ila sema ndio hivyo.
 
malantu

JF-Expert Member
May 26, 2021
710
1,140
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Mawazo mgando kama haya hakika yanazidi kuididimiza nchi yetu.
 
Heijah

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,964
6,291

Hoja yako dhaifu sana tena sana, nchi zote kubwa duniani zinafanikiwa kwa kuwa na wafanya biashara wakubwa na ndio wanaendesha private sector. USA nchi tajiri duniani ni kwa sababu ya biashara na viongozi karibia wote huko ni wafanya biashara wakubwa lakini kikubwa ni kuwa na sheria kwa wote ni check and balance hili ndio tunalikosa huku. Russia ilikuwa maskini kwa mawazao kama haya lakini leo wana mabailionea wakubwa duniani na hii inawapa jeuri nchi kiuchumi, China hivyo hivyo. Umaskini ni mbaya sana kama tunasema umaskini ni adui sasa adui huwa anapigwa tu wala hawezi kuwa rafiki. Mambo ya ujamaa hayana nafasi tena tulishapita huko tukaishia kula sukari guru.
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
12,866
18,553
Sema dah! nimekumbuka kipindi cha Kikwete mwanzoni nilijawa na matumaini makubwa sana kwenye nchi yangu kwa ujumla...hari mpya nguvu na kasi mpya ila sema ndio hivyo.
Kikwete alileta fursa nyingi sana.
Tatizo la watu wengi wanapenda kujazwa manoti mfukoni badala ya kujifanyia kazi na kujijaza manoti mfukoni wenyewe.
Hakuna darasa la kuziona fursa, hiyo ni akili yako mwenyewe.
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
3,040
2,606
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
"What a hell president is this" ?. Hapa ungeandika kwa herufi kubwa kabisa, maana hali si hali.
 
39 Reactions
Reply
Top Bottom