Huko Ngorongoro kuna wawekezaji wa kitalu cha uwindaji wa miaka mingi wanaitwa Ortello. Hii kampuni inahusisha vigogo wa kifalme wa falme za kiarabu. Inasemekana kigogo fulani wa ccm na serikalini...
Hakuna mahali popote ambapo Mahakama ya Kinondoni katika hukumu yake imesema kwamba Paulo Makonda , aliyeshitakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka na uvamizi AMESHINDA KESI HIYO , ambayo...
TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kumteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la...
Nyakati za Dr Slaa mambo ya Kitaifa kama hili la mgogoro wa Ngorongoro chama kingekuwa kimetoa maoni na Msimamo wake
Lakini zama hizi za J J Mnyika lila mtu anatoka hadharani na msimamo tofauti...
Ndugu wanajamvi
Ililetwa nyuzi humu ikitaadharisha mpango mchafu wa kuleta taharuki na sintofahamu dhidi ya Mbunge wa hai unaoratibiwa na Mstaafu Freeman Aikael Mbowe Kwa kuwatumia wapambe wake...
Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya.
Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika...
Mwezi mmoja tu baada ya kuapishwa Rais Samia alijinasibu kuwa yeye anaamini kwenye kukosolewa na pia ataachia uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vilifunguwa huko nyuma na anaamini katika...
Hapo vip!!
Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu.
Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya...
Ndiyo,
Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania,
Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini?
Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini...
Picha: Fredrick Lowassa
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa kupitia mtandao wake wa Instagram, ameandika kuwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro ni Watanzania na wana haki sawa Kama...
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme.
Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa...
Wabunge wa magufuli wanaendea kutuletea kero majimboni, Mfano huyu mafue amekuwa kinara wa migogoro katika vijiji vya nshara na uduru akitaka kuleta uhasama Mkubwa.
Mafue ananuka Damu za Sabaya
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ikiwa ni kwa njia ya swali fikirishi "Jee Jicho la Rais Mama Samia Suluhu Hassan, litaweza kuangazia...
Ifahamike kuwa wakati baadhi ya wafanyabiashara hawakuweza kulipa kodi, kuna wenzao waliweza kulipa kodi kwa aina hiyo hiyo ya biashara na soko hilo hilo.
Mfanyabiashara anapopanga bei ya bidhaa...
Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.
CCM ina...
Twende moja kwa moja kwenye mada.
Ni hivi ,huko Uganda jamii ya watu wa kabila la Batwa kwa miaka mingi walikuwa wanaishi kwenye hifadhi pamoja na Sokwe,lakini kadiri walivyoongezeka ikatishia...
Huyu mama ana asili ya kutokujiamini ndio maana anaongeaga huku anatetemeka, hajiamini kabisa hata subordinates wanamdharau tu maana hana madhara wala jipya lolote zaidi kutembeza bakuli...
Twende kwenye mada.
Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote...
Mbunge wa Mtwara mjini amesema wamasai 110,000 wanaoishi Ngorongoro waondolewe na kulipwa fidia ili kulinda hifadhi kwa sababu Ngorongoro siyo mali ya Wamasai pekee bali ni ya taifa zima kama...
Tangu kuondokewa kwa aliyekuwa Amiri Jeshi na Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh JPM
Mitandaoni kote hakujawahi kutulia, nilidhani labda kwa kuwa nchi yetu haijawahi kukumbwa na kadhia hiyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.