Katika mambo yaliyoleta Ukakasi katika awamu iliyopita ni pamoja na hili LA FAO LA kujitoa. Hapo awali ilikua ni haki ya mtu kuamua muajiriwa au la.
Kwa Sababu yoyote mtu aliweza kuamua kutumia...
Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu...
Wahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu.
Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika...
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas aliomba mwongozo kwa Spika Tulia kuhusu ujenzi wa Daraja la Jangwani
Tarimba amesema Daraja la Jangwani lilo jimboni Kwake na aliwahi kuuliza bungeni ni lini...
Hii mada inaonesha kumbe watu wengi bado wana mtazamo hasi dhidi ya mji wa Dodoma.
Binafsi mara ya kwanza nimefika Dodoma miaka 26 iliyopita. Kweli wakati huo maisha yalikuwa magumu sana kuishi...
Watu wanaoongoza kwa kumchukia Sabaya ni wale mabwanyenye wa Hai na wafuasi wao.
Watu hao wengi walifurahia kufa Magufuli na ndio waliyomfitini Sabaya kwa Samia na yeye kuafiki kumtimua na...
Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua...
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.
Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya...
Wabunge waliochangia hotuba ya Wizara ya Ujenzi wamelia na kusuasua kwa ujenzi wa barabara za majimboni mwao.
Wengine wamefikia hatua ya kumkumbuka Mwamba hayati Magufuli
Chanzo: Bungeni
Kutoka Bwanga
Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wameonekana kutomfurahia wala kupendezwa na ujio wa Rais akiwa katika ziara yake kuelekea Kagera ambapo alisimama kuzungumza na wananchi wa...
Vitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali...
Hili ni somo ambalo Urusi wamelitumia na likawapa mafanikio makubwa sana hasa ndani ya hii miongo miwili ya Rais Putin.
Ni somo ambalo China sasa wamelichukua na naona linaendelea kuwalipa. Hata...
Mara nyingi watu wa hali ya chini wamekuwa wakiimbishwa nyimbo wasizozijua hasa lengo lake ni nini.
Sasa hivi Chadema wamekuwa ombaomba wakubwa, makamu mwenyekiti wa chama anaomba ubelgiji na...
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea mchezo wa soka wa Yanga na...
Mama ya mwanahabari Eric Kabendera, Verdiana Mujwahuzi, 80 amezungumza na wanahabari kwa mara ya kwanza tangu mwanawe akamatwe Jumatatu wiki hii na maafisa ambao hawakuwa wamevalia sare rasmi za...
Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.
Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na...
Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi.
Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye...
UVCCM _ TAIFA
JUNI 08, 2022
PICHA NA MATUKIO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akipokea hati za utambbulisho wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania...
Samia....
"Awamu iliyopita nilikuwa Makamu wa Rais chini ya kaka yangu,
Marehemu John Pombe Magufuli....
Alinifundisha mambo mengi sana,niliisoma Dhamira yake vizuri sana.
Jinsi ya kuipeleka nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.