BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI
New Foreign Exchange...
Pori Tengefu Loliondo lilianzishwa Mwaka 1951 chini ya Sheria ya Kuhifadhi Wanyama Sura 302, na kuendelea kutambuliwa na Sheria ya Kuhifadhi Wanyamapori Na.12 ya Mwaka 1974 kupitia Tangazo la...
Kaya zaidi ya 280 zimeathirika Kisaikolojia baada ya nyumba zao za kuishi na biashara walizojenga katika barabara Mianzini- Timbolo kuvunjwa na Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru Mkoani Arusha...
=======
Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita
Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini...
Watanzania tuache kuchukulia kila jambo kwa mtizamo hasi,Nchi mbalimbali Africa zimeanza kuchangamkia fursa ya kilimo cha bangi kibiashara.
Baada ya Malawi na Rwanda , South Africa kuanza rasmi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, amewataka wananchi kupunguza matumizi ya kuni na mkaa na kutumia nishati mbadala.
Swali langu ni nishati mbadala kwa...
Zimekuwepo kampeni za wazi mitandaoni za kumblackmail mhehimiwa rais kumtaka amuachie huru Sabaya. Wanaofanya haya wanatumia mbinu ya mashambulizi ya kisaikolojia ili kumfanya mheshimiwa rais...
"Ni Matunda ya filamu ya royal tour ndani ya Miezi miwili pekee tu! Watalii wafurika Tanzania".
Ikiwa ni baada ya Miezi miwili tu tangu filamu maalumu ya royal tour iliyomuhusisha rais was...
MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake...
Uwe unampenda au humpendi utakubaliana na mimi kwamba Mh Tundu Lissu ni tunu ta taifa. Sitaki kurudia mambo mengi yaliyopita lakini kwa ufupi ni kuwa yale yoote aliyotuonya wana wa tanzania kuhusu...
Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita.
=======
Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John...
Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua...
Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania,
====
HEBU ANGELIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE...
Rais Samia akiwa Bwanga, Geita amesema Serikali itaendelea kutoa ruzuku ya bilioni 100 kutoka kwenye matumizi ya Serikali ili kuendelea kushusha bei ya mafuta nchini.
Hivi ule mkopo wa WB si...
Nimekumbuka namna hayati JPM alivyoanza kupambana na mishahara hewa mara tu baada ya kuapisha baraza lake la kwanza la mawaziri. Ikawa ni vita iliyochukua sehemu kubwa ya awamu yake.
Mishahara...
Gharama za matibabu huwa zinabadirika mara kwa mara kulingana na gharama za maisha zinavyobadiriki na Kinachopandisha gharama za maisha ni bidhaa muhimu kupanda gharama hususani mafuta ya dizeli...
Na Mwl Maziku, Sumbawanga
Je wajua serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeweza kulipa madeni yote yaliyohakikiwa?
Rais Samia amewezesha ulipwaji wa madeni ya watumishi wa umma yapatayo...
Salaam Wakuu
Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato.
Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.