Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbona mnakuwa na roho za ajabu ninyi wanaChadema? Hiii nini? Hamtaki wafungue kesi upya?
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Wana jf, great thinker, tafadhali naomba kufahamisha kinagaubaga pasipo kupepesa macho wala hisia; kuhusiana na mafanikio yatokanayo na michezo ya kubahatisha. Binafsi nimeona tu kupitia filamu...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Nasema hivi kutoka na hii kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, majuzi hapa Bwana Mnyika na Mamluki wa CHADEMA pale Mahakamani walipiga kelele wakidhani kwamba uamuzi wa Mahakama ulitosha kuwatoa...
1 Reactions
11 Replies
797 Views
Hakuna mtanzania mpenda haki anayetamani kuona katiba hiihii tuliyonayo inakutwa na kutumiwa na kiongozi anaefanana hata kwa nusu tu na yule kiongozi wa awamu ya tano (RIP). Awamu ile ni sawa na...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Upigaji wa kura kwa bajeti ya 2022/2023 unaendelea Bungeni ambapo wabunge wote wa CCM wamepiga kura ya ndio huku wa CHADEMA na ACT wakisema hawana maamuzi Najiuliza ni kwanini hawaoneshi shukrani...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeupenda utaratibu wa Chadema wa sass ambapo barua zinasambazwa na mabosi wenyewe siyo matarishi. Benjamin Netanyahu kibarua kimeota nyasi Mungu ni mwema wakati wote
2 Reactions
4 Replies
895 Views
Nimesoma katika moja ya mapendekezo ya Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni kwamba wateule wa Rais waliotenguliwa wasilipwe mishahara ya vyeo walivyokuwa navyo awali yaani warudishwe kwenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wamasai waliohamia Handeni Tanga wameishukuru sana Serikali kwani sasa wanaiona future ya maisha yao Wamemwambia Waziri Mkuu mh Majaliwa kwamba Ngorongoro malisho ya Mifugo yao yalikuwa mbali...
1 Reactions
9 Replies
938 Views
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19 Nasema hivi ile ahadi ya Ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi...
17 Reactions
56 Replies
5K Views
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi punde kutoka huko Mahakamani Moshi Mkoani Kilimanjaro , ambapo leo Mtuhumiwa wa unyang'anyi wa kutumia silaha za moto Ole Sabaya amefikishwa Mahakamani...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Fanya ziara ya kimkakati Dar es salaam na viunga vyake fika kimara , kibamba , mbezi Louis, makabe , goba, malamba mawili , tegeta a na maeneo jirani ujionee hizi katakata za maji usiku Kuna maji...
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Soma Hotuba yote ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 na mpango wa maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/20. Thursday June 13 2019 Soma hotuba yote ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
WATAALAM MNIJUZE MAJUKUMU YA RAS,MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI WA WILAYA.
0 Reactions
11 Replies
20K Views
Riba ya Mabenki kukopesha wateja wao sio suala la kisiasa, Huwezi ukasema kuanzia Leo Mabenki ya biashara riba ya kukopesha iwe asilimia kumi 10% Mabenki kukopesha Raia au wateja wake...
10 Reactions
92 Replies
9K Views
CCM hata kama mnataka kuiba kura term ijayo kama kawaida yenu, jitaidi muwe mmeweka na watu competent katika kutetea maslahi ya nchi kwa ujumla, sio mnatuwekea watu kama kina Babu Tale, et al...
0 Reactions
3 Replies
617 Views
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Bwa. Kaspar Mmuya amepongeza maendeleo ya ujenzi wa ofisi za msajili wa vyama vya siasa nchini zinazojengwa eneo la...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA. Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)  Salaam Mhe Waziri! Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi...
51 Reactions
350 Replies
30K Views
Kwako Spika wa Bunge Tulia Ackson, umewahi kumsikia IGP Sirro akitoa ushauri kwa Watanzania kuwa ni vema ku Tii sheria bila shurti? Basi ushauri ule ni kwa watanzania wote ukiwepo wewe. Sasa kwa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi. Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…