KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika...
UVCCM_ TAIFA
JUNI 27, 2022
ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU:
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa unawatangazia Vijana wote kuwa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Jumuiya...
Leo tarehe 23/01 /2022 Mzee Salim Ahmed Salim anatajwa kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake, hii ni baraka kubwa kwake na kwa familia yake.
Sisi wengine tunamtakia heri ya siku hii mzee wetu...
Kulikuwa na uwongo mwingi wakati wa awamu ya 5 kuhusiana na Sekta ya Madini.
Kulikuwa na uwongo mwingi juu ya kuongezeka kwa mapato kwenye sekta ya madini eti kutokana na juhudi za marehemu...
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!
Mastaa hawa wanapiga picha...
Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa...
Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka...
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji...
Leo natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu ishu ya wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA ambao walifutwa uanachama hivi karibuni. Na haya maoni ninayoyatoa nikiwa nimejiridhisha...
Mimi Kama mtumishi wa serikali nimekuwa nikiwaletea mwendelezo wa madudu ya Katibu tawala wetu mkoa wa Arusha, Athumani Kihamia ikiwa ni sehemu ya nne ya kuujulisha umma ubabe wa kiongozi huyo...
Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana.
Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu...
Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa...
Katika Nchi ambayo Viongozi wanajipimia kama hii Tanzania ya Sasa tunahitaji vitu vitatu :-
1. Katiba Mpya ,tunahitaji katiba inayong'ata ili viongozi na wananchi waheshimu madaraka.
2. Chama...
Cheki mchakato kama wa wabunge kumi na tisa wa CDM. Nikupotezeana tu muda. Mwananchi anafaidika nini? Leo nchi kama US wanahangaika na habari za bunduki lakini hawawezi kufanya kitu sababu ya...
CHADEMA imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa
Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo
Chanzo: ITV habari
Serikali kutopeleka fedha ya elimu bure kwa shule za sekondari na msingi kwa mwezi May 2022 kumesababisha usumbufu mkubwa kwa taasisi hizo kwani wameshindwa kununua vifaa vya shule, kukarabati...
Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu...