Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanachezewa masharubu, hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa CCM, kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu. Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako...
3 Reactions
18 Replies
933 Views
Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii...
15 Reactions
63 Replies
9K Views
David Kafulila ambaye ni mkuu wa mkoa wa Manyara kwa sasa akihojiwa na Wasafi TV Katika kipindi cha msumari wa moto ameulizwa swali : Kwanini ccm bado ipo madarakani wakati vyama vingine vikongwe...
1 Reactions
6 Replies
957 Views
Katiba yetu inampa nguvu kubwa sana Mh Rais, kiasi kwamba watu wengine hujikuta wanamuunga mkono kwa hofu ya kuharibiwa maisha. Mimi nikipata hii nafasi ntatumia hiyo nguvu kuvunja muungano kwa...
8 Reactions
8 Replies
985 Views
Sekta ya gesi imekuwa na maneno, conspiracies na minong'ono mingi sana isiyoisha na ikiacha mkanganyiko wa kujua upi ni ukweli na upi ni uongo au pumba tu. Kwa sababu Makamba anaonekana ni mtu...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Dunia nzima inaona yanayotokea huko Sri Lanka, nasi pia kama sehemu ya dunia tunayaona. Yaliyotokea Sri Lanka kama kudorora uchumi, kupanda bei kwa bidhaa kwa kutisha, mikopo mikubwa isiyolipika...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi. Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali...
34 Reactions
147 Replies
11K Views
Mwaka 2025 siyo mbali kama Mwenyezi Mungu anakuweka hai,ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa kumpata Rais, wabunge na madiwani na kuna majimbo ya uchaguzi ambayo hakika makada watatoana jasho kweli kweli...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mradi wa Uzalishaji wa Sukari Mbigiri ambao unamilikiwa na kampuni tanzu ya Mkulazi uliyopo Wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro una lengo la kuzalisha sukari tani 50,000 kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
TARATIBU,UZEE NA NADHIFU;RUBANI WA NDEGE YA JET NA RUBANI MKONGWE WA AIRBUS. Leo 11:05hrs 17/07/2022 Ndege ya Airbus 380 ikiambaa juu ya bahari ya Atlantic,Ndege ya kivita Jet inatokea,rubani wa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge. Hongera SSH kwa spirit hii ya...
2 Reactions
6 Replies
895 Views
Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
10 Reactions
90 Replies
6K Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Neno ushiriki wa kisiasa kwa ujumla katika maana ni tabia yoyote ya kibinadamu au ushiriki ambao unachangia au unashawishi mchakato wowote wa kisiasa au matokeo. Ushiriki wa kisiasa unaweza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
793 Views
Wakuu poleni na majukumu. Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Namuuliza tu Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Leo ana majaji wamestaafu wanapewa mkataba waendelee kuhudumu? Hawa si ndio watakuwa na utii kwa mtu anayewaongezea mkataba? Waende kupumzika SSH ateue...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati...
14 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa anayo mengi ya kujivunia kwa timu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Golf ya Wanawake (TPDF...
2 Reactions
9 Replies
908 Views
Amani kwako. Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Taifa letu linahitaji watu wenye Kariba ya ANTONY MTAKA yule mkuu wa Dodoma wengi zaidi kama 1000 hivi ili washike nyazifa na vitengo mbalimbali serikalini. Kwanza nikili sijawahi kumuona na...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…