1.Misri
Hili ni taifa la kale zaidi Africa, ambalo Historia yake inaweza kuangaziwa kuanzia karne ya 6 kabla ya Kristo.
2. Ethiopia,
Hili ni Taifa la Kale Africa ambalo Historia yake inaenda...
Kongamano la kujadili Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma, Dar es Salaam.
GEOPHREY PINDA (NAIBU WAZIRI KATIBA NA SHERIA): Tanzania hakuna Sheria...
Hakika tunapitia kipindi kigumu ,yaani kila siku afadhali ya jana.
Vifurushi vinapanda kila muda hadi nashindwa kuelewa majukumu ya TCRA .
Nimenunua kifurushi cha voda tena cha chuo haya ndio...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa changamoto za wanajeshi zinaendelea kufanyiwa kazi na Wizara kwa kushirikiana na Makao Makuu ya Jeshi...
Kutokana na Nchi kuharibiwa na KIKUNDI cha watu wachache wasiozidi 40 ikiwa ni pamoja na kututungia KATIBA ya Chama chao na kuiita KATIBA ya Wananchi huku Wananchi wakiwa hawakushirikishwa na...
Wakuu Taarifa zilizopo Ni Kwamba hafla ya uhapisho Wa Marc na Maras Unafanyika Dar na Sio Dodoma Tena.
.
Taarifa ya Kutoka ikulu ilisema hafla itafanyika Dodoma Ila Imepigwa U-turn uhapisho ni...
Nina hakika hata wenyewe wanashangaa hawana mikimikimikiki yoyote hawa jamaa wanaweza wakaamka kesho wakasema tshs 5000 unapata data ya mb 80 na wasifanywe kitu
Sanasana watu wakilalamika...
Kufuatia mahakama kuruhusu waliokuwa wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na mawakili wa CHADEMA.
Huu ni wakati haswaa wa kujua na kuelewa ubaya wa Jiwe kwenye siasa za tanzania .
Kitendo cha Ndugayi na...
Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Habari ya saa hizi waungwana!!
Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa...
Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi.
Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23...
Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu.
1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya...
Wapi kampeni ya Join the Chain mbona imepotea …haisikiki tena baada ya wanachama wa Chadema kuchanga fedha zao ‘’nguvu buku’’ lakini baada ya baadhi ya viongozi wa chama hicho kupata fedha za...
Kipekee nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi wetu wa nchi kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya kwa taifa.
Pili kama wanadamu wengine nyinyi nyote mnamapungufu yenu kama binadamu wengine,ni...
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi mh Lavrov ameongea jambo la msingi sana kuhusu utegemezi wa Afrika kwa Ulaya
Hebu fikiria jinsi Tanzania tulivyo na kila kitu lakin bado tunaamini Wazungu ndio...
Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.