Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
7,561
13,274
Habari ya saa hizi waungwana!!

Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022.

Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala mpana wa namna na mbinu zakupunguza makali haya ya maisha kwa watumishi wa Umma. Napenda kupendekeza njia tatu tu ninazoziona zinaweza kusaidia kupunguza hii kadhia kama ifuatavyo;

Mosi, serikali na vyama vya wafanyakazi viachane na propaganda za nyongeza za mishahara kabisa kwa watumishi. Hizi nyongeza za 'kisiasa' zinaongeza na kuchochea sana mfumuko wa bei za huduma na bidhaa. Mfumuko wa bei kwa hii miezi minne (april to July, 2022) ni mkubwa kwasababu ya matarajio ya nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi. Lakini kilichotokea sisi sote ni mashaidi hai kwa hili. Bora tubaki na annual increment haina kelele na pia ipo kisheria.

Mbili, wakati umefika vyama vya wafanyakazi wapunguze makato yao ya kisheria kutoka 2% warudi kwenye 1%. Hii itaongeza 'take home' ya wateja wao wanaobanwa mbavu na mwajiri na mifumuko endelevu ya bei. Lakini pia majukumu ya msingi ya vyama vya wafanyakazi bado hayana uwezo wa kumkandamiza mwajiri kuongeza mshahara kwa watumishi. Ikumbukwe kuwa kupanda mshahara imefafanuliwa leo kuwa ni zao la kile au tija ya kinachozalishwa kwenye uchumi husika na Waziri mkuu amekuwa muwazi na amefafanua zaidi.

Tatu, watumishi wa Umma wakati umefika ambapo ni lazima wabadilike. Kila mtumishi wa umma ajitahidi kuwa walau na kamradi ka kumwongezea kipato wakati wa muda wake wa ziada. Kinyume cha hapo kunae kikokotoo mbeleni kinawasubiri kwa hamu.

Hizi sababu na hizo mtakazochangia zitawezesha kutafuta walau ahuweni kwenye Utumishi wa Umma. Kwakweli tunakoenda ni lazima kujipanga.

Muwe na mahesabio mema kwenye Sensa ya 23 Agasti, 2022
 
Kazi yako kama inaruhusu rushwa chukua hadharani, kama kazi yako inaruhusu kuiba, iba parefu kwelikweli nchi ishakuwa shamba la bibi
 
Hivi kumbe watumishi wa Umma pamoja na shahada/Stashahada zao bado wana maisha magumu??
 
Kwa take home ya laki tano, bila allowance yoyote hapo katikati, maisha lazima yaws magumu.

Toa kodi, nauli, chakula, umeme, maji, ada, nguo, etc ni ngumu sana kufanya maendeleo.
 
kwa muhindi mshahara hauzidi 180,000 kwa mwezi, Hakuna cha allowance wala kupanda daraja, ukistaafu unapata kiinua mgongo kisichozidi laki mbili kama ulifany a kazi kwa zaidi ya miaka miwili, kazi ni za shuruba hasa! Na Hakuna wa kuwa tetea, tuico wanawakata hela na Hakuna wanachowasaidia, mwisho wa siku wote tuna nunua mahitaji kwa bei sawa!! Hivi hawa wafanyakazi wa viwandani si binadamu? Serikali inaongelea watu ishi wa umma tu, Hakuna baki kwa kweli.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hoja zako ni nzuri sana, hasa hoja ya ya 3.Ubaya wa hoja hii ni kwamba endapo watumishi wataifanikisha hii hoja Serikari na watanzania kwa ujumla watakula hasara. Ndio maana Serikali nyingi duniani hutoa motisha kwa watumishi ili kuwapimbaza waendelee kuwatumikia watu, kwa kiwapa uzoefu wa biashara watumishi wa TZ kuna siku tutalia machozi ya samaki.
 
Back
Top Bottom