peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,297
- 31,555
VIDEO: Mwanafunzi ajifungua chumba cha mtihani Simiyu
Mwanafunzi wa darasa la saba, Shule ya Msingi, Kulimi, Kata ya Kulimi wilayani Maswa, Mkoa wa Simiyu amejifungua katika chumba cha mtihani.