Viongozi wetu God is after your steps,will and decisions,do good for your seek after the end of edges

howardlite

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
234
368
Kipekee nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi wetu wa nchi kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya kwa taifa.
Pili kama wanadamu wengine nyinyi nyote mnamapungufu yenu kama binadamu wengine,ni vizuri mkumbuke kila siku,na hii itawasaidia kujitahidi sana kutenda mema,haki na usawa mkijua ipo siku mbele za Mwenyezi Mungu mnalakujibu kuhusu mamlaka ambayo aliwapa kuongoza watu wake(waja wake) si kama mpendavyo bali kama watu mtakao jibu mbele zake siku ya kiama kwa mamlaka ya juu zaidi ya Mungu mwenyewe.

Najua sio kila mwenye mamlaka anaweza kusema ndio,lakini ukiguswa man or woman on position,your Excellence...... change your course,fanya yaliyo mema usipuuze unajiwekea hazina akhera au kwa Mungu.

Your excellences Hon.Madam President and vice president nyie ni wacha Mungu,we know you.Let Almighty God remind you on the way to position yourselves for the better of your citizens.

We pray for all of you and your less ones as the command from God to let you do accordingly.
 
Tuombee na tupambanie,

RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Tupate Katiba mpya itokanayo na RASIMU ya Mzee wetu kabla haijachakachuliwa na kuitwa KATIBA PENDEKEZWA.
Ateuliwe Judge Warioba na AAPISHWE kumaliza KAZI aloianza.

Katiba mpya itapunguza mamlaka ya Rais yalomzidi na kufanya utekelezaji wa masuala mengi muhimu ya nchi yaende Kwa kusuasua.

Amen.
 
Kiingereza kimeharibu ladha ya mada kuanzia kwenye kichwa cha uzi wako.

Hii lugha ililetwa na ndege hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom