Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Twende kwenye Mada.. Rukwa-Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Comrede Kinana ameitaka Serikali kuwaondolea Wananchi waliojiajiri Kero,utitiri wa Kodi na tozo Ili waweze kunufaika na jasho lao...
3 Reactions
105 Replies
5K Views
Tangu kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, msamiati wa "wananchi wanyonge" umeleta mjadala mkubwa sana kwenye medani za siasa hapa nchini. Rais Mwenyewe amekuwa kila mara...
12 Reactions
218 Replies
21K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Nicolaus Herman Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Anachukua nafasi ya Marehemu Prof. Damian Gambagambi aliyefariki akiwa...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Hili jambo huwa silielewi kabisa. Kweli Mbowe kama binadamu ana madhaifu yake, lakini inakuwaje ni CCM ndiyo wanataka kuweka ukomo wa uenyekiti wa Mbowe CHADEMA? Yaani ni kama Wamarekani waseme...
23 Reactions
567 Replies
45K Views
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi. Pale bungeni kuna vikao...
1 Reactions
91 Replies
10K Views
Nimekuwa nikifuatilia harakati anazofanya Mh. January Makamba za kugawa mitungi ya gas na kuhamasisha watu kuachana na matumizi ya Kuni. Sasa nije kwenye mada yangu. Jana Bwana January Makamba...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jinsi viongozi na wanachama wa Vyama vya upinzani wanavyotendewa na wana CCM walioko kwenye uongozi wa nafasi za kisiasa na pia wanavyotendewa na Serikali kwa ujumla, Jee wapinzani hao nao...
0 Reactions
5 Replies
723 Views
Mimi Yohana siku zote huwa nawapinga wanaodai hayati Magufuli aliuvuruga Upinzani Ukweli ni kwamba Magufuli alisaidia Upinzani kutambuana nani ni mpinzani kweli na nani ni Magumashi Bila...
21 Reactions
132 Replies
6K Views
Nilileta uzi huu: Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hata hivyo wapi au...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Comrade Kinana ndio kiongozi wa kwanza wa ngazi za juu kabisa katika ungozi wa CCM kujionea kero za barabara iliyosuswa na Awamu kadhaa( kuanzia alipochaguliwa Waziri wa Ujenzi-Magufuli, Awamu ya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Hoja yangu ni kufahamu majukumu ya Waziri katika Wizara hii inayoitwa Habari, Mawasiano na Teknolojia. Mitandao ya simu inabadili vifurushi kila uchwao tena bila taarifa, mdhibiti wao ni nani...
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Tuwe wakweli mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ana nguvu kubwa kuliko Kamati kuu ya chama chake Fikiria 2015 Mbowe alijiamulia tu kumkata Dr Slaa na kumleta Komredi Lowassa wa CCM na wote...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Ninaomba kupatiwa Idadi ya nchi Za africa zinazoongozwa na Mara is wanawake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona...
12 Reactions
72 Replies
4K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa ruhusa ya Nusrati Hanje, Halima Mdee, Esther Matiko, Ester Bulaya, Jesca Kishoa na wenzao wawili kufika mahakamani na kuhojiwa na mawakili wa upande wa...
9 Reactions
43 Replies
6K Views
Nimemsikia Katibu Mwenezi wa CCM Bwana Shaka akimsifu Makamu Mwenyekiti wake Bwana Kinana Eti AMEUUA UPINZANI MBEYA. Nimepatwa na KICHEKO baada ya kusikia hivyo kutoka kwa Huyo Mwenezi.UPINZANI...
1 Reactions
0 Replies
486 Views
Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, " Aidha...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee...
9 Reactions
326 Replies
34K Views
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhruri Ya Muungano Wa Tanzania. CCM inatarajia kukutana Kwa Ajili ya Mkutano DEC 15 2021. Naomba ndugu Yangu Kijana Shaka Hamdu Shaka. Tumia Fursa hii kumbananisha Pole...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Magufuli amesema, ''Ninaomba wanaMtama chapeni kazi, najua kabla ya Nape Nnauye mlipata tabu sana, maendeleo yalipelekwa kwengine nilikuwa sijui kwa sababu gani,Nape nampenda sana ni...
10 Reactions
135 Replies
18K Views
Back
Top Bottom