Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism) 1. Kuwa barabarani ni pesa 2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakati mbunge wa viti maalumu mh Magige akichangia bajeti ya Nishati ghafla mwenyekiti ameahirisha bunge kwa nusu saa na ametoka ukumbimi Tutawajuza yaliyojiri Source TBC ====== Mwenyekiti wa...
5 Reactions
93 Replies
11K Views
Kiukweli nimewaangalia jana pale Dodoma kwenye mkutano wa Viongozi wa Dini na Vyama vya siasa nikashangaa kabisa Mzee Duni Hajji, Zitto Kabwe, John Mnyika nk hawaoneshi furaha kabisa Dkt. Kitima...
2 Reactions
5 Replies
719 Views
Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea. Umeaacha wadau wengine humu na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo. "Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Rukwa. Katika kupunguza kero zinazowakuta wafanyabiashara wadogo, Serikali imeanza mchakato wa kuzifuta baadhi ya taasisi za udhibiti zinazotegemea kutoza kodi kujiendesha. Hayo yalisemwa mkoani...
1 Reactions
1 Replies
443 Views
VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama...
1 Reactions
0 Replies
855 Views
Tanzania hutumia TZS bilioni 20 kwa mwaka kuagiza lita milioni 10 za mchuzi wa zabibu ili kutosheleza soko la ndani linalohitaji lita milioni 15. Serikali imeweka mkakati wa kuongeza uzalishaji &...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Watumishi wengi ni watu wenye maarifa na upeo mdogo sana! Wakati tangazo la nyongeza ya mishahara linatoka mimi Fumadilu Kalimanzila niliandika humu JF nikawaeleza kuwa Tanzania haina uwezo wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakika hii sasa ni kero ambayo inaonesha Serikali ya CCM imeshindwa KABISA kusimamia kampuni za biashara hususani za Simu na yanafanya chochote watakacho na hakuna cha kuwafanya. Nimeshtuka...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati January Makamba amesema serikali inataka iwe na Mchanganyiko sahihi wa vyanzo mbalimbali vya Umeme kwenye Gridi ya Taifa Lengo ni kwamba chanzo kimoja kikitatizika kingine...
2 Reactions
15 Replies
998 Views
Imekuwa ni kawaida kila inapokaribia wiki ambayo bei mpya ya mafuta hutangazwa, vituo pendwa vinavyomilikiwa na wanasiasa maarufu, hudai hawana mafuta kungojea bei mpya. Hii huwa ni dalili ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Utahitaji kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ili kuishitaki TCRA mahakamani kwa mujibu wa kifungu namba 68, kifungu kidogo namba mbili, cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta...
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Tayari viongozi wakuu wa Chadema, Freeman Mbowe na John Mnyika wamewasili Mahakamani wakiambatana na wanachama wao kadhaa . Jopo la Mawakili wa Chadema liko tayari kwa mapambano ya haki.
14 Reactions
125 Replies
13K Views
Mara kadhaa nimeandika humu jukwaani,na leo tena ninaandika,ninaandika baada yakuona muendelezo wa madudu aliyofanya RC wa Iringa dhidi ya daktari bingwa wa Mkoa,lakini ninaandika pia bada ya...
128 Reactions
130 Replies
21K Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/miradi-ya-sh14-9-bilioni-yakutwa-na-kasoro-geita--3896130
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Rais Dkt. John Magufuli amemteua Steven Kagaigai kuwa Katibu mpya wa Bunge la Tanzania, kuchukua nafasi ya Dkt. Thomas Kashililla ambaye atapangiwa kazi nyingine. Tafadhali kwa mwenye kujua...
4 Reactions
101 Replies
32K Views
Naona ni wiki sasa hizi njemba zinapuyanga kila mtaa mkoa kwa mkoa zikisema ujanja ni kuchanja, wakihimiza watu wachanje chanjo ya korona. Sasa huyu shilole, mkojani na wema sepetu wana utashi...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Mambo yamebadilika sana Siku hizi Uwakilishi imekuwa ni Ajira tena inayolipa kuliko zote Zamani Wananchi walimchagua mtu Bila malipo ( bure) lakini Siku hizi Uwakilishi unanunuliwa kama bidhaa...
2 Reactions
2 Replies
485 Views
Back
Top Bottom