Kesi ya kina Halima Mdee Kuna watu wataumbuka sana

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Kufuatia mahakama kuruhusu waliokuwa wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na mawakili wa CHADEMA.

Huu ni wakati haswaa wa kujua na kuelewa ubaya wa Jiwe kwenye siasa za tanzania .

Kitendo cha Ndugayi na Mahela kuhojiwa na mawakili wa cdm hii ni nafasi muhimu ya kuujua ukatili wa kisiasa alio ufanya jiwe kwenye siasa za tanzania.

Kwa hatua hii bado Mungu anawapigania Watanzania.
Screenshot_20220730-090012.jpg
 
View attachment 2308527
Jiwe aliitendea haki siasa ya tanzania. Aliwasaidia wapinzani kujitambua na kusimama kama wapinzani. Aliwajua unafiki kwa kiwango kikubwa sana. Leo Jiwe hayupo unawasikia wapinzani? Zitto keshawaambia hamtomsikia tena akiinanga serikali.

Mbowe nae kawageuzia kibao kuwa anawashangaa mnaposemaga muingie barabarani.

Amesahau ye ndio alikuwa anasema nchi haitawawalika ataongoza maandamano nchi nzima.

Kwa sasa yeye na ikulu ni pua na mdomo.

Huyo Lipumba ndio keshasema 2025 Samia hana mpinzani.

Haya endeleeni kupuliza vuvuzela.
 
Huwa nawashangaa sana mnapomlaumu jiwe kwa yale yaliyotokea wakati wake ambayo bado yanaendelezwa mpaka leo.

Hivi uwepo wa hao Covid bungeni mpaka leo bado utamlaumu jiwe? au huwa mnapenda tu kulitaja hilo jina ili kuzikonga nyoyo zenu?
 
Jiwe was satan

What if

Tume wakatoa ushahidi wa chadema kupeleka majina

Wakatoa na video za wakati majina yanapelekwa?

Kwa hii case chadema wanaenda kuisha ni Bora mara mia wangekaa pembeni

Kuna uzembe chadema walifanya na ndio huo unaenda kuwakost
 
Kuna tofauti Kati ya Chadema na Mnyika

Majina hupitishwa na Kamati kuu ya Chadema ambayo halijawahi kuketi kwa ajenda hiyo!
 
Sabaya apasuliwa kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna tofauti Kati ya Chadema na Mnyika

Majina hupitishwa na Kamati kuu ya Chadema ambayo halijawahi kuketi kwa ajenda hiyo!
Ukweli wa hayo

Tutaujua mahakamani kama walikaa au hawakukaaa au walikaa bila kutoa taarifa nyie wafuasi mkajua
 
Hiyo kesi imeshafika mwisho

Mwiba hutokea ulipoingilia

Halima Mdee na wenzake watajiuzulu ubunge

Tunza hii comment!
 
Yes hii kesi imefika mwisho, na chadema watapa aibu ya mwaka

Tunza hii comments
 
Huwa nawashangaa sana mnapomlaumu jiwe kwa yale yaliyotokea wakati wake ambayo bado yanaendelezwa mpaka leo.

Hivi uwepo wa hao Covid bungeni mpaka leo bado utamlaumu jiwe? au huwa mnapenda tu kulitaja hilo jina ili kuzikonga nyoyo zenu?
Wewe ni Kati ya wanafiki flan humu sasa bila jiwe kufanya uchafuzi wa 2020 leo tungekuwa na covid-19? Maana jiwe aliiba kura na kupora ubunge mpaka akasahau kwamba mbeleni atakosa wabunge wa UPINZANI watakaoongoza kamati fulani za bunge ilu kukidhi hitajio la sheri za komonwelth au kimataifa ndio akapewa option ya kina mzee Mdee!
 
Usiwe mvivu wa kufikiri, kukutwa na kesi ya kujibu sio hukumu. Hukumu ndio inadhibitisha hatia tuwe waangalifu na maandishi yetu.
Mkuu wacha kupoteza nguvu zako kwa kumjibu mtu mpumbavu kama huyo
 
Jiwe aliitendea haki siasa ya tanzania. Aliwasaidia wapinzani kujitambua na kusimama kama wapinzani. Aliwajua unafiki kwa kiwango kikubwa sana. Leo Jiwe hayupo unawasikia wapinzani? Zitto keshawaambia hamtomsikia tena akiinanga serikali.

Mbowe nae kawageuzia kibao kuwa anawashangaa mnaposemaga muingie barabarani.

Amesahau ye ndio alikuwa anasema nchi haitawawalika ataongoza maandamano nchi nzima.

Kwa sasa yeye na ikulu ni pua na mdomo.

Huyo Lipumba ndio keshasema 2025 Samia hana mpinzani.

Haya endeleeni kupuliza vuvuzela.
Mtu yeyote anayejielewa kamwe hawezi kuyaamini haya maneno yako.

Upinzani upo kwenye akili za mtu na wala siyo Mbowe au Lipumba au Zitto .

Kinachotakiwa ni kuiondosha ccm madarakani vinginevyo wana ccm wajisahihishe
 
Back
Top Bottom