Rais Magufuli amesema,
''Ninaomba wanaMtama chapeni kazi, najua kabla ya Nape Nnauye mlipata tabu sana, maendeleo yalipelekwa kwengine nilikuwa sijui kwa sababu gani,Nape nampenda sana ni...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia)akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Ndugu Goodluck Ole Medeye mara baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Oldonyosambu...
Waziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kufika kwenye mradi wa kufua umeme kwa Njia ya Maji wa Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Shilingi 1.4 Trilioni...
Ufafanuzi wa kina uliotolewa na Waziri Mkuu leo hii umeondoa propaganda za watu wachache waliolenga kupotosha jamii. Kama mtumishi wa umma napenda kuwakumbusha Watanzania mambo mazuri...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila aliwahi kuulizwa na Ayo Tv siku chache zilizopita kuwa haoni anahatarisha nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kwa uamuzi wake wa kumnyang'anya soko la...
Waziri Makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati.
Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika.
Ukichunguza...
Tunamaliza mwaka 2021 kwa kishindo
nimejaribu kutafakari uwajibikaji wa mawaziri katika wizara zao na nimekuja kutanabaisha pasipo na shaka kwamba Waziri wa maji Juma Aweso anaupiga mwingi sana...
UTANGULIZI.BJandiko hili nalileta kwenu kwa jinsi ninavyojua na kushiriki katika zoezi la kupata nafasi hizi! Bandiko hili linajaribu kuweka mambo sawa ili wadau humu wajue pumba na mchele ni upi...
Mbunge wa jimbo la kisesa Mhe. Luhaga J. Mpina ameshauri iundwe tume teule ya Bunge ili kuchunguza kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara.
Mhe. Mpina amehoji Tanesco iliwazaje kutoka kukusanya...
Bunge la Bajeti liko ukingoni kumalizika ni wabunge gani tunawapa nafasi kumi bora kwa kuwakilisha vema na kubeba hoja zenye maslahi mapana kwa taifa letu
Leo Waziri wa Kilimo ametamka hadharani kuurejesha Mfumo wa Ununuzi wa Mbolea BPS ambao ulifutwa Juni 2021 na kusababisha mfumko mkubwa wa bei za Mbolea nchini kwani wafanyabiashara waliuza mbolea...
Yule mbunge machachari mh Mpina ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kununua ndege aishauri sass ijikite kwenye ndege za mizigo.
Source Star tv bungeni
Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa...
Nauliza tu anayetakiwa na Wakili Kibatala akatoe ushahidi bungeni ni mh Job Ndugai au Spika wa Bunge la JMT?
Kwa sababu Spika ni Cheo siyo.mtu.
Sabato njema!
'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA
Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye...
Kazi iendelee!
Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
Acha niorodheshe baadhi ya maovu yaliowahi kufanyika ama yanayofanyika hapa Tanzania na kushangiliwa au kunyamaziwa na jamii.
1. JPM alivunja katiba hadharani ktk Mambo mengi sana , watanzania...
Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia.
RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu. Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake.
Miaka ya Mwendazake...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza maadhimisho ya miaka ya 95 ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (Chinese People’s Liberation Army) tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.