Bila tija mshahara usiongezwe serikalini

We jamaa sijui unatumia sehemu gani ya mwili wako kufikiri!!
Kwa hali hii ya uchumi,mfumuko wa bei, unatarajia TIJA ndio mshahara uongezwe?
Acheni kutafuta nafasi serikalini kwa kujipendekeza kwa Mkuu kwa mawazo mgando kiasi hiki,mshaurini mkuu ainusuru nji hii kwa kuongeza mishahara angalau kwa 50%,ili wajomba zako na mashangazi warejeshewe uhai
 
Fanyeni kazi acheni soga na umbea usio na tija. Asietaka aache kazi. Hapa kazi tu.
 
Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Nenda kamkune upara mzee wako DODOMA
 
Unaumwa wewe!
Unataka Mkataba wa Ajira wa Nyongeza ya Mshahara uvunjwe kisa ujuha wako?
Juha kweli wewe!
 
Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.

uko sahihi sana

lazima KPI iwe introduced kwa wafanyakazi wa serikali

wengi wavivu, hawajielewi, hawajiamini, hawajui procedures, sio wabunifu, hawana kipya yaani....
 
We jamaa sijui unatumia sehemu gani ya mwili wako kufikiri!!
Kwa hali hii ya uchumi,mfumuko wa bei, unatarajia tija ndio mshahara uongezwe?
Acheni kutafuta nafasi serikalini kwa kujipendekeza kwa Mkuu kwa mawazo mgando kiasi hiki,mshaurini mkuu ainusuru nji hii kwa kuongeza mishahara angalau kwa 50%,ili wajomba zako na mashangazi warejeshewe uhai

msome huyo jamaa, utamuelew
weka hoja kinzani plz
 
uko sahihi sana

lazima KPI iwe introduced kwa wafanyakazi wa serikali

wengi wavivu, hawajielewi, hawajiamini, hawajui procedures, sio wabunifu, hawana kipya yaani....
Mkuu ungeweka mfano namna gani hizo KPIs zitumike kwa watumishi.
 
Lazima kuwepo na KPI anayezifikia ndo aongezewe mshahara, sio mijitu nchi nzima inataka kuongezewa mshahara (kuipitia sijui TUTA sijui TUKUTA, hizo zama za kupeana mshahara bure bure zilishaisha toka awamu iliyopita. Fanyeni kazi kwa bidii na ubunifu.
 
Weka kwanza kada yako tupime uelewa wako,bila kusahau kiwango chako cha elimu,ikiwezekana na tupicha twa vyeti vyako.
 
Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Kwa akili yako unadhani ukiwa na chuki na walio ajiriwa na wewe ndio utaajiriwa?? Pole sana kwa roho yako ya wivu ulio nayo na utaendelea kukaa mtaani kwa sababu ya hiyo roho mbaya uliyo nayo maana ndio adhabu yako ,mungu humuadhibu mtu kutokana na roho yake na uta saga sana kitaa mkuu
 
Hata wazazi wako wakikusikia kama mama atajilaumu kwa nn hakutoa hiyo mimba na kama baba ataona bora angepiga punyeto bafuni maana hana maana katika jamii.
Kiuchumi iko hivi watumishi wakipata mshahara mkubwa purchasing power inaongezeka na hela inapatikana kiurahisi hata kwa walala hoi.

Duh unatokea wapi Mkuu maana kuna sehemu ukisema umetokea huko nadhani jf wataelewa nini cha kukujibu kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom