Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi siku chache zilizopita imetoka na maazimio kadha wa kadha yenye lengo la kujenga Demokrasia na kuimarisha Utawala wa Sheria Nchini Tanzania .
Maazimio ya kamati...
Mwenyekiti wa Bavicha , ambayo ni Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , John Pambalu , akizungumza na vijana wenzake huko Geita kwenye vikao vya ndani , bila kumung'unya maneno wala kuona...
Naam tozo bado zipo tena nyingi tu. Jemadari wa tozo Field Marshal, mtaalam wa uchumi mwenye PhD, karudisha tu majeshi nyuma wakati mbinu za chini chini zikifanyika kuzikarabati zisiweze...
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku...
Watanzania Wenzangu naamini nyote MNAKUMBUKA Awamu ya 5 ilipoingia Madarakani ilijinasibu kuwa Inajenga UCHUMI wa VIWANDA na Mkakati ukawa Kila MKOA utenge Viwanja 100 kwa Ajili ya UJENZI wa...
Naibu Spika Zungu amemtaka Waziri wa Tehama Nape Nnauye kuisaidia Wizara ya Fedha ili kuhakikisha serikali inapata mapato ya kutosha kuendesha nchi.
Naibu Spika Zungu akasisitiza kwa kusema...
Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na...
Naomba miaka ya baadae (mbeleni) huko nje ya kuwataka Wagombea wawe na Elimu Kubwa ila pia wawe Wanapimwa kama ni Werevu Kiuhalisia kwani kuna tofauti Kubwa mno kati ya kuwa Msomi (Intellectual)...
Tumemsikia Naibu Spika, Mussa Zungu, akielezea kuhusu tozo zilizolalamikiwa Sana na wananchi, hadi Serikali ikasalimu amri na kuahidi kuzipunguza tozo hizo kuanzia tarehe 1 mwezi ujayo.
Katika...
Wabunge walipe kodi. Katika nchi nyingi ulipaji wa kodi ni majawapo katika sifa kuu kwa wagombeaji wa ubunge kuwa nayo ili wakidhi kuchaguliwa.
Ni wazi kuwa kwa Wabunge wetu hawa kwa kutolipa...
Hayati mmoja mwanasiasa akiwa waziri wa fedha aliongea kwa jeuri sana kauli iliyomfuata hata baada ya kifo chake, pale aliposema ndege ya Rais ni lazima itanunuliwa ikibidi hata wote tule majani...
Leo tarehe 22/09/2022 saa Nne na Dakika 40 Usiku Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango atahutubia Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA...
Ulipokuwa RPC wa Geita kwenye Uchaguzi wa 2020 ulifumbia macho Lissu kupigwa mawe Chato , huku kukiwa na Taarifa za wazi kabisa kwamba ulikuwa na habari zote kuhusu kikundi kilichoandaliwa na ccm...
Salaam wapendwa.
Dk. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa, aliwahi Kufanya kosa la KIIMANI akiwa katika harakati za kutafuta Ubunge.
Dk. Tulia aliwahi Kutumia...
Hapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.
Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy...
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha...
Jaji Warioba amesema Siasa za Tanzania zinaendeshwa mikanda, kikabila na kidini na hili liko wazi kabisa
Warioba amesema mfano rahisi ni Wabunge wa Bunge la JMT ambao huenda kugombea vijijini...
Niliwahi kuandika kwamba tozo za banks zimewagusa majizi na matajiri wa Mjini wakiwemo wanasiasa na watu wa kundi la Kati ndio maana walizipigia Sana kelele.
Sasa Serikali imeendeleza unyonyaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.