John Heche Vs Mwigulu Nchemba

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Hapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.

Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.

Hongera sana John Heche.
 
Hawa vijana hawakuokotwa barabarani. Wamejaa nondo
 
Nakumbuka kasentensi kamoja

Economics is all about what you get in left-hand and how you spent in right-hand

Equilibrium hii ikikuchenga hata tukusanye mishahara ya wafanyakazi wote hutoboi

Matumizi makubwa ya Serikali hasa kwa Tabaka pendwa ni janga
 
Hapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.

Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.

Hongera sana John Heche.
MWIGULU na CCM yake uwezo wa Kufikiri umewafika mwisho
 
Hapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.

Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.

Hongera sana John Heche.
Acha upuuzi wewe,ni Serikali ilishasema Bungeni kwenye Bunge la Bajeti kwamba wanampango wa ku cut bil.554 iki zibakie bil.54 kwa taratibu taratibu maana huwezi kupunguza ghafla kwa mara moja..
 
Kwani ukiondoa Chai na vitumbua kwa mara moja Waheshimiwa watakufa....!!?

Kwani ukiondoa Ma V Eighty kwa mara moja watakonda...!!?

Kwani ukiwaondolea posho kwa mara moja wataumwa?

Unawazungumxia hawa hawa waliokulia vijijini wakichunga ng'ombe na kuchota maji vichwani.

Hawa hawa walio Anza kuvyaa viatu sekondari...!!?
 
🐒🐒🐒
AAOqup.jpeg
 
Na wewe kwa akili zako unaamini kuna chai ofisini?
The fact that FM amesema wanapunguza hela kwenye Chai na vitumbua then naamini kuna pesa ya Chai na vitumbua maofisini. Hilo la nani anakunywa hiyo Chai na vitumbua Inawezekana ni kitendawli kingine. Kwa Tanzania niijuayo inawezekana pia hiyo pesa ikawa inaishia mifukoni.....!!
 
Back
Top Bottom