Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina shaka na performance ya mkuu Pascal Mayalla endapo atagombea ubunge wa EALA na kujieleza ndani ya bunge la JMT kisha Kuomba kura kwa akina Babu Tale na Kibajaj Natafakari tu kwa mfano...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi mbona ni aibu kubwa sana kwa taifa kubwa lenye rasimali nyingi na utajili wa maliasili kama Tanzania kufikiria juu ya kukamua tozo toka kwa wananchi wanyonge badala ya kufikiria kutumia...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Ndugu zangu habarini za Alhamisi. Ninaleta wazo kwenu kwenye uchaguzi wa 2025. Tukumbuke kuwa kwa sasa vilio vingi ni mambo ya TOZO kila uchwao, haya yametokea kutokana na ubutu wa Bunge letu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dah 👇 Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali...
3 Reactions
84 Replies
5K Views
KWA WABUNGE WANAOMBA KURA KUWAKILISHA BUNGE LA EAC HAYA MAMBO MUHIMU SANA YA KUZINGATIA "Asiyekubali kushindwa huyo sio mshindani" Binafsi nianze kwakukipongeza chama cha mapinduzi (CCM) kwa...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022 Kamishna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker.. Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu...
24 Reactions
376 Replies
43K Views
Amesema aligundua kuwa anapofanya miamala Serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu. Ametaka Serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata kiko sahihi au...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe. Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana...
20 Reactions
182 Replies
13K Views
Akitoa amri/ushauri kwa Serikali Jana kwenye kusanyiko la Kibunge jijini Dodoma, Naibu Spika wa Bunge hilo Zungu alipendekeza Serikali kuanza kukusanya kodi kwenye matumizi ya data. Akiongea kwa...
0 Reactions
12 Replies
700 Views
1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa...
2 Reactions
0 Replies
562 Views
Habari za wakati huu JamiiForums. Kwanza kabisa ninaomba ieleweke kwa kila mmoja wetu ya kwamba, Tanzania ililazimika kupigana vita ya Kagera mwaka 1978 kwa lengo la kuikomboa ardhi yetu na...
3 Reactions
364 Replies
23K Views
Hebu tuzitafakari hizi kauli mfu za Naibu Spika: "Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Jeshi la Policu linahitaji mageuzi makubwa sana ya kiumuundo, Sasa wao magezi wanayo yajua huwa ni yale ya kuhamisha RPC, hii ndio we anayo imudu sana, yaani wakitoka kupokea lecture kutoka kwa...
1 Reactions
1 Replies
542 Views
Binafsi siwezi kumpinga wala kumpongeza Naibu Spika Zungu kuhusu Tozo hadi nipate Wasifu wake wa kitaaluma kwanza Naomba CV yake
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni...
18 Reactions
95 Replies
9K Views
Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020. Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom