Henry Mwaibambe Karibu Tanga

Henry Mwaibambe Karibu Tanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,385
Reaction score
289,498
Ulipokuwa RPC wa Geita kwenye Uchaguzi wa 2020 ulifumbia macho Lissu kupigwa mawe Chato , huku kukiwa na Taarifa za wazi kabisa kwamba ulikuwa na habari zote kuhusu kikundi kilichoandaliwa na ccm ili kuvuruga Mkutano halali wa hadhara wa Tundu Lissu , ili kuzuia SPANA ZAKE KWA MGOMBEA WA CCM , ambaye alitokea hapo hapo Chato .

Leo umehamishwa Geita na kupelekwa Tanga , Japokuwa inasemwa kwamba UBAYA HAUNA KWAO , lakini Tanga ni eneo lingine kabisa , kuwa Makini

Karibu Tanga
 
Twafa
 
watu wa Tanga msije mkampa kamanda wa watu mapenzi motomoto mpaka akasahau kutimiza wajibu wake kama kamanda, chondechonde msimchawie huko kwenye mapenzi😀😀 😀 MIXOLOGIST
 
Back
Top Bottom