Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
Watanzania Wenzangu naamini nyote MNAKUMBUKA Awamu ya 5 ilipoingia Madarakani ilijinasibu kuwa Inajenga UCHUMI wa VIWANDA na Mkakati ukawa Kila MKOA utenge Viwanja 100 kwa Ajili ya UJENZI wa VIWANDA.
Aliyekuwa WAZIRI wa TAMISEMI Alizunguka NCHI nzima kuhakikisha VIWANJA vinapimwa tayari kwa UJENZI na Rasmi NCHI ikatangazwa kuwa ni TANZANIA ya VIWANDA.
Kuanzia hapo Kadiri Siku zilipokuwa zinasonga mbele ndio KELELE za TANZANIA ya VIWANDA zikawa zinapungua na kwisha kabisa.
Najiuliza je ni VIWANDA vingapi vimejengwa mpaka sasa kwa MIKOA yote? Ni Vema SERIKALI kama haijakamilisha basi ikamilishe ili AJIRA kwa VIJANA wetu zipatikane.