Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu Tanzania ipate uhuru Kigoma wamekuwa wakitumia umeme wa Jenereta lakini serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kuiunganisha kigoma katika Grid ya Taifa na kufanikiwa kuzima majenereta...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Shalom wakuu, katika harakati zamtu mweusi, Niko Mkoa wa Katavi Leo, Kuna tukio la Mwenge mahali hapa. Kata ya Usevya Wilaya ya Mlele-KATAVI, migambo wamezagaa kuwafosi wananchi wafunge maduka...
1 Reactions
6 Replies
561 Views
Kuna Watu walilalamika kwamba hela za Gawio NHIF wanazitoa wapi? Sina Hakika waziri alikuwa nani wakati NHIF inatoa Gawio Waziri Ummy Bima ya Afya ndio uzima wa Watanzania
3 Reactions
7 Replies
910 Views
Tayari mishahara imeshakatwa Kodi ya mapato (PAYE), hata hivyo unapokwenda kuuchua kwenye Benki ulikowekwa na mwajili wako unakatwa Kodi/tozo tena. Hili ni laana kubwa kwa watumishi wetu. Kama...
2 Reactions
8 Replies
886 Views
Kila mwaka ripoti ya CAG anaonyesha wizi na ubadhilifu mkubwa wa fedha za wananchi unaoipunguzia serikali uwezo wake wa kuwahudumia wananchi wake kwenye elimu, afya, usafiri, nk kama anavyosema...
1 Reactions
4 Replies
787 Views
Mbona unayalaumu mabenki na makampuni ya simu, Kwani serikali haitozi kodi kwenye miamala inayotoza mabenki na makampuni ya simu kwa watumiaji? Yaani Mh. Zungu unachotaka wewe ni serikali akate...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Engineer waziri mdogo wa Finance hataweza kujibu maswali! Mwingine PHD fake!
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo hii nimesoma habari kwamba Tanzania na Msumbiji tumetia sahhi makubaliano ya ulinzi na usalama. Kwanza sikuamini kama ni Msumbiji kweli, au nchi nyingine. Yaani Msumbji, ile ninayoijua mimi...
12 Reactions
49 Replies
4K Views
Viongozi 14 wa nchi za Africa watazungumza Katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakiwemo Rais Kagame wa Rwanda na Rutto wa Kenya Source BBC Dira ya Dunia
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza. Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika...
37 Reactions
202 Replies
10K Views
Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu...
23 Reactions
98 Replies
8K Views
CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Kuna kitu nimekuwa nikikitafakari kwa muda mrefu, nikahisi yawezekana ni mimi tu fikra zangu ndiyo mbovu au za kizamani, lakini baada ya kumsikia Jaji Warioba akizungumzia suala hilo, nami...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, baada ya kutunukiwa PhD, sasa ni rasmi Mh Musukuma ameanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano bungeni. Leo ameuliza swali kwa kizungu...
15 Reactions
41 Replies
5K Views
NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hongera sana waanxilishi wa jamii forum. Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa. Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki. Nyerere, mkapa na magufuri...
12 Reactions
105 Replies
5K Views
Wanabodi, Wakati tukiendelea kuisubiria hiyo tarehe 21/1/19 ifike, hakuna ubaya kama Watanzania tutaelimishana kidogo ni nini haswa CAG alichokisema kuhusu Bunge letu wakati akiwa nchini Marekani...
68 Reactions
153 Replies
23K Views
Mkuu wa mkoa wa Mwanza mh Malima amesema mkoa wake umeanza kuchukua hatua kukabiliana na Ugonjwa wa Ebola endapo utabainika kuwepo Naye mganga mkuu wa mkoa wa Kagera amesema wamejipanga...
2 Reactions
3 Replies
470 Views
Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja. Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!. Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu. Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Back
Top Bottom