Nadhani angekuwa ni dada au ndugu yako usingepata nguvu ku comment hivi. Tuwe makini na comments kwenye nyuzi sensitive.Kawaida hao wanapendana .....SASA UNAINGIA TARIME....
Nadhani angekuwa ni dada au ndugu yako usingepata nguvu ku comment hivi. Tuwe makini na comments kwenye nyuzi sensitive.Wasipopigwa wanasema hawapendwi maeneo hayo.
Nimekupa fact, haimaanishi naunga mkono.Nadhani angekuwa ni dada au ndugu yako usingepata nguvu ku comment hivi. Tuwe makini na comments kwenye nyuzi sensitive.
Hizi comments tuzimalizie kwenye kula tunda kimasihara au vituko mtandaoni
Subiri Binti yako,au dada yako akitendwa hv ndio utajuaKawaida hao wanapendana .....SASA UNAINGIA TARIME....
Mapenzi yamempa kilema. Wengine yamewapa kifoWaziri Gwajima sasa ndiyo wakati wako kuonyesha unawajibika.
Tazameni unyama aliofanyiwa mwana mama na mumewe, waziri inabidi aanzie hapa. View attachment 2363793
Na Maana yake Ni kwamba ukishamleta town tu watu wanamfundisha namna ya kuzama uvinza then imeisha hio.Kuoa kijijini ina maana kubwa sana.
Mapenzi ya zamani sana hasa kanda ya ziwaHuo ni unyama panyaroad wamehamia Musoma wanakata wake zao mapanga.. eti wivu wa mapenzi ndio umcharange mkeo mapanga kweli?
Hadi unamkata mkono kweli?
Pole sana Maria Marwa..
Jeshi la polisi limtafute huyo muhalifu na manati ya mzungu na akikiuka amri ya kukamatwa adunguliwe tu km wanavyodunguliwa panyaroad wengine
Nimeumia sana mama wa watu amepata ulemavu bila hata kutarajia..Mapenzi ya zamani sana hasa kanda ya ziwa