Dkt. Mpango kuhutubia UN leo

AFRIKAMOJA

Member
Aug 11, 2022
30
37
Leo tarehe 22/09/2022 saa Nne na Dakika 40 Usiku Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango atahutubia Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 2022),NewYork,Marekani.
IMG-20220714-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom