PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu.
Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao...
Huu uonevu kwa nchi za Africa sijui itaisha lini?
Msibani kwa Malkia Elizabeth hadi akina Manangwa wa Zimbabwe wamekataliwa kwenda
Mungu ibariki Africa
Nawasalimu woote Kwa jina la JMT
Moja Kwa Moja KWENYE mada
Mauzo ya bidhaa zetu nje ya nchi yameongezeka sana.
Kilio Cha tozo serikali imekisikia na Sasa tuna Ari ya kuchangia maendeleo yetu...
LEO BUNGENI DODOMA
MAJALIWA AWATOA HOFU WADAU MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA
Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa awatoa hofu wadau wa mazingira na wa haki za binadamu kuhusu utekelezaji wa...
Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.
Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo...
Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa...
Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya...
Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia ameitaka Mifuko...
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO katika Ukumbi wa FRELIMO - Eneo la Matola nchini Msumbiji leo tarehe 23 Septemba, 2022.
Hii nchi Data zinapikwa vibaya mno na sijui.kama kuna Taifa Data zinapikwa kama Tanzania na mbaya Kiongozi haoni aibu kusimama na kusoma Data ambazo yeye mwenyewe anajua fika ni za kupikwa...
Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu...
Haya hapa ni baadhi:
1. Kufanya udanganyifu juu ya chanzo cha fedha za utekelezaji wa miradi ya serikali.
2. Kuamuru ubomoaji wa nyumba za raia wa Kimara wakati wengine walikuwa na zuio la...
Vigezo vilivyotumika kuchagua:
1. Mchango wake katika kudumisha uhuru na umoja wa waafrika
2. Mchango wake katika kuwaunganisha watu wa taifa lake na mataifa jirani
3. Uthabiti katika kupigania...
Imeelezwa kuwa Panyaroad ni zao la Ufisadi, Wizi, Ujambazi na ubadhilifu mkubwa unaofanywa serikalini na kuwanyima wengine fursa
Kwamba Panyaroad na Panya Book ni Mtu yule yule akitenda uhalifu...
Muswada huo umesomwa Leo Septemba 23, 2022 Bungeni Dodoma ambao unalenga kuweka misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi za wananchi, Kuweka Kiwango cha Chini cha Matakwa ya Ukusanyaji na Uchakataji...
SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI.
Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita
Na Mwandishi Wetu,Pwani...
HII NI HUJUMA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WANANCHI.
Hebu tutazame kiasi gani cha fedha zitafujwa kupitia hii Kamati kwa kitu ambacho jibu liko wazi,tozo ni "Poll Tax," kwa hiyo wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.