Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Mbunge wa Rombo kaamua kuweka hadharani chanzo mlipuko G'Mboto; anadai yalikuwa yame-expire... Ameongea kwa kofia mbili: 1 kama mkazi wa Gongo la Mboto na 2 kama Waziri kivuli wa ulinzi. Amesema...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
CCM-tanzania yawaahidi wanakigoma na Watanzania kuwarejeshea tena kipenzi chao Mama Samian Suluhu Hassan 2025 Kwani ndani ya mwaka mmoja tu amefanya maajabu mengi, === Katibu wa...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Raisi wa Kenya William Ruto ni kama amesahau kuwa alikuwa Makamu wa Rais wa serikali iliyopita kwa sasa ameamua kuisimanga serikali iliyopita kuwa iliharibu uchumi kutokana na hilo naona maneno...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
https://twitter.com/share?text=‘Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache’: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Hotuba yangu katika Mkutano wa Rais Samia Suluh Hassan katika Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma Leo 18/10/2022. Mheshimiwa Rais nami nichukue nafasi Hii pia kukukaribisha mkoani kwetu. Siku 3...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Ikiwa utawaweka mchwa 100 wekundu na 100 weusi kwenye chupa, hakuna kitu kitatokea. Lakini ikiwa utatikisa chupa, mchwa wataanza kuuana. Wekundu wataamini kuwa weusi ni maadui, wakati weusi...
1 Reactions
4 Replies
547 Views
Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Tumemsikia kwa kauli yake mwenyewe leo hii. January Makamba Waziri wa Nishati nchini. Wakati akihutubia umati katika ziara ya Rais Samia katika mjini Geita. Ametamka na ninamnukuu.."Napenda...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Mikutano halali ya vyama vya siasa iliyozuiliwa kinyume cha Katiba ya nchi sasa imeruhusiwa Rasmi na imepangwa kuanza Rasmi Novemba 2022. Chanzo: Raia Mwema. Bali ifahamike kwamba Kamati Kuu ya...
16 Reactions
45 Replies
4K Views
MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Wanasheria 5,065 waliokopeshwa zaidi ya TZS 10.6 bilioni kama mikopo wakiwa wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania (Law School of Tanzania - LST)...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga...
7 Reactions
64 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 18 Oktoba, 2022 Zitto Kabwe- Kiongozi...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Na Chacha Wangwe Jr Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO. Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing...
25 Reactions
229 Replies
18K Views
Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom