Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa Hii imetolewa leo 18/10/2022 na Waziri wa wizara hiyo Mh Damas Ndumbaro ==== Kufuatia taarifa ya matokeo ya wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo ya hivi karibuni, na...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Imekuwa utamaduni wa kila siku,kusikia zikiundwa tume kuchunguza matukio kadhaa, yanayoleta kadhia mbalimbali ambazo huikumba jamii. Tume hizo huteuliwa na viongozi wa ngazi mbalimbali tofauti...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Geita. Serikali imelenga kuufanya mkoa wa Geita kuwa kitovu cha uchumi ndani ya Taifa na ukanda wa Afrika Mashariki na kuwataka wananchi kutumia fursa hiyo hasa kwenye uwekezaji wa mwambao wa Ziwa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mchakato wa kujenga vyumba tisa vya madarasa BADO unaendelea !Hii ni BAADA ya vile sita kukamilika na kufikisha vyumba 15 vya madarasa, lakini shule hiyo BADO haina vyumba viwili vya maabara vya...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA MAHITAJI KWA WATOTO NJITI KIGOMA. OR.TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa Msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua...
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria? CAG hata kama anveweza kukagua ofisi...
2 Reactions
62 Replies
4K Views
Kuna kundi dogo la wazee ambao bado wako hai wanaolipwa pension na Hazina limesahauliwa sana. Wazee hao wachache ni wale waliokuwa wamestaafu kabla mifuko ya jamii haijaanzishwa na walikuwa...
14 Reactions
39 Replies
5K Views
[emoji625]Ikulu, Migombani Zanzibar. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) akutana na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji...
1 Reactions
6 Replies
897 Views
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Dar es Salaam. Kasi ya utendaji kazi aliyoanza nayo Rais John Magufuli katika muda wa siku 20 inaonekana kubwa na ya aina yake lakini hivyo ndivyo ilikuwa kwa mtangulizi wake, Rais Mstaafu Jakaya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo...
17 Reactions
345 Replies
43K Views
Katika nchi zenye idadi kubwa ya Tume za Uchunguzi huenda Tanzania ikaongoza, karibia kia tukio baya iwe Wizi, Mauaji, Uhaliifu wa Kawaida, Uhalifu Mbaya, Ajali za Moto, Magari, Majengo, Vifo...
2 Reactions
7 Replies
931 Views
Shaka asema makubwa anayoyayekeleza ikiwemo kufikisha umeme wa gridi Kigoma, amezidi kugusa maisha ya Watanzania Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
1 Reactions
3 Replies
582 Views
Zitto ni muda nadhani hayupo sayari hii. Atakuwa sehemu analamba tu Asali. Asikwambie mtu. Nampenda Rais Samia. Hatumii nguvu kuwanyamazisha wanasiasa. Magufuli alikuwa Mjeuri na mbishi. Acha...
2 Reactions
8 Replies
805 Views
Naangalia bunge la Kenya ni ukweli usiopingika hata kama hatuupendi wakenya wana katiba bora kabisa mara milioni kuliko katiba ya Tanzania. Sisi kila kitu ni teuzi tu. Kenya makatibu wakuu...
15 Reactions
111 Replies
4K Views
Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana...
15 Reactions
86 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu amepeleka neema kigoma na wananchi wameitikia kwa wingi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu kwasababu kigoma ilisahahaulika kwa kipindi kirefu lakini Rais Samia Suluhu...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wale wanaodhani miradi itakwama wanajidanganya bure kwani miradi yote ya kimkakati itakamilika kwa Wakati Majaliwa amesema Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika. Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua...
3 Reactions
93 Replies
6K Views
Back
Top Bottom