Rais William Ruto ni Magufuli aliyechangamka, naona ameanza kutema cheche

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,904
Raisi wa Kenya William Ruto ni kama amesahau kuwa alikuwa Makamu wa Rais wa serikali iliyopita kwa sasa ameamua kuisimanga serikali iliyopita kuwa iliharibu uchumi kutokana na hilo naona maneno yaleyale ya hayati JPM kuwa wenzake hakuna alichofanya alivyokuwa akisema jukwanj naona na Ruto anapita humohumo.

Wanasiasa ni ngumu kuwaelewa na kujua kilichopo mioni mwao
 
Raisi wa Kenya William Ruto ni kama amesahau kuwa alikuwa Makamu wa Rais wa serikali iliyopita kwa sasa ameamua kuisimanga serikali iliyopita kuwa iliharibu uchumi kutokana na hilo naona maneno yaleyale ya hayati JPM kuwa wenzake hakuna alichofanya alivyokuwa akisema jukwanj naona na Ruto anapita humohumo.

Wanasiasa ni ngumu kuwaelewa na kujua kilichopo mioni mwaoView attachment 2389528
Yeah, yuko sahihi mambo yalianza kuharibika walioingiza handshake na yeye akawekwa kando! Mengi yalikuwa yanaamuliwa na Uhuru Kenyatta akishirikiana na Raila! Ruto aligeuzwa kuwa mpinzani wa serikali!
 
Ila yuko sahihi ile special branch imeua sana Wakenya naona yeye hakuwa Happy kama Samia wetu.
 
Ruto atagonga kichwa cha kila mhujumu uchumi ndipo atakapo katishwa safari yake ya miaka10
 
Mkumbusheni asije gusa maslahi ya mzungu wasije kumzima betri.
Watazima wangapi? East Africa inaenda kuwa kijinga cha moto kweli kweli, tuiombee tu ipo namna tumewaponyoka na bado hatuwezi kurudi Misri japo kuna virus wamebaki, ila Mungu wetu si Athumani, atatusaidia...Hata sasa yeye ni Ebenezer
 
Raisi wa Kenya William Ruto ni kama amesahau kuwa alikuwa Makamu wa Rais wa serikali iliyopita kwa sasa ameamua kuisimanga serikali iliyopita kuwa iliharibu uchumi kutokana na hilo naona maneno yaleyale ya hayati JPM kuwa wenzake hakuna alichofanya alivyokuwa akisema jukwanj naona na Ruto anapita humohumo.

Wanasiasa ni ngumu kuwaelewa na kujua kilichopo mioni mwaoView attachment 2389528
wanasiasa ila wanafiki sana
 
Ruto = Magufuli: Wazalendo, wachapakazi na Wachamungu
EerMS9lXsAM6fTU.jpeg
 
Back
Top Bottom