Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,139
4,216
Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
Screenshot_20221016-075754.jpg
 
Angekuwepo lingekuwa limekamilika ila mishahara, madaraja, ajira mpya nk usingeviona kamwe.

Maendeleo lazima yawe balanced, vitu na watu. Magufuli alidhani maendeleo ni VITU na sio kwa WATU
Hapo bado mifuko ya pension ya wastaafu kukwanguliwa na na kuachwa myeupeeee na pesa zote kupelekwa bwawa la nyerere yaan mzee alikuwa anamawazo ya hovyo sana yule.
 
Priority ya awamu hii ni gesi sio hydro electric power.

Huo mradi ni kikwazo kwao.

Ni kama umesuswa. Yanayoendelea huko yanasikitisha mno.
Marehemu aliacha ukiwa asilimia ngapi na mwaka mmoja baadae umefika asilimia ngapi!?..yaani yupi kaupeleka kwa kasi kuliko mwingine!?..ili uthibitishe madai yako
 
JNHEP siyo kikwazo tu ni KITANZI kwao. Hata wao wanajua kuwa umma unazitazama sarakasi zao na kwamba 2024 siyo mbali.
Pole Sana,unatumainia chaguzi wanazoziandaa wao!?..watu wazima tumekua na matumaini hayo tangu 1995...tulipong'amua ni maigizo tukaendelea tu kujenga nchi
 
Hapo bado mifuko ya pension ya wastaafu kukwanguliwa na na kuachwa myeupeeee na pesa zote kupelekwa bwawa la nyerere yaan mzee alikuwa anamawazo ya hovyo sana yule.

Na hii bima ya afya inayopigwa debe, ndio itageuka mfuko wa kuchotwa fedha kwenda kusaka sifa za kisiasa, huku wananchi wakipata matibabu duni.
 
Hao walamba asali hawana ujanja lazima wakamilishe hiyo miradi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom