Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO. Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing...
25 Reactions
229 Replies
18K Views
Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa...
26 Reactions
141 Replies
10K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, tafadhali na samahan sana sisi wakazi wako hii tuniona ni fedhea na aibu Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla. Hosptali kubwa kama mawenzi Hopstali haiwezekani ikose...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni inaonyesha kwamba Nape Nnauye ambaye ni Waziri wa habari , ametoa msamaha kwa mtu yule duni aliyekubali kutumika kijinga kumtishia bastola ili kuwafurahisha...
9 Reactions
48 Replies
6K Views
CHADEMA wanataka kuwaaminisha Watanzania kwamba hakukuwa na mafisadi wala ufisadi kuanzia mwaka 2015 - 2020 maana wanasema kila aliyekamatwa alionewa!. Hata Rugemarila aliyethibitishwa na bunge...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Chuo chetu kiko chini ya wizara ya fedha.Tuko zaidi ya wanafunzi 2500 na pia wanaendelea kusajili wanafunzi katikati ya semester Chuoni kwetu tuna hali mbaya sanaa sio kwa jinsi uongozi wa chuo...
2 Reactions
102 Replies
18K Views
Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani. Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
RAIS SAMIA NI CHUMA CHA PUA DHIDI YA WABADHIRIFU KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha uimara mkubwa...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Akihutubia Katika Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2022 na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mkoani Kagera, Rais Samia ameziagiza Taasisi hizo za Kupambana na Rushwa kuwachukulia hatua...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakati Huku TZ tukiwasifia kwa Demokrasia pevu wakenya, pia tutafakari na hii: 41Bilions K/shs,+ 4.1bilions K/shs,+700 milionsK/shs,+ 851 millions, K/shs.+800millions, K/shs! Ebu jumlisha hizo...
11 Reactions
76 Replies
4K Views
Wanabodi, Kwanza kabisa napenda kuipongeza serikali ya Rais Samia kwa juhudi zote zilizofanyika kuleta maendeleo Kigoma na Tanzania nzima kwa ujumla. Maoni yangu hayata egemea upande wowote bali...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
18 October 2022 Machame, Kilimanjaro Tanzania Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ktk masuala ya fedha shirikishi, Malkia Máxima wa Uholanzi amewasili Tanzania fedha shirikishi ktk...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Benki ya dunia yaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na nchi yetu ya Tanzania katika kusimamia uchumi. Makamu wa Rais wa benki hiyo Bi @VictoriaKwakwa amezitaka nchi nyingine duniani ziige mfano...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Mheshimiwa Mbowe ni Mwanasiasa mkongwe wa Siasa za Upinzani, hakuna ubisihi kwa sasa anaamini kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mh. Samia Suluhu Hassan inawapeleka...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko. 2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
JE, ZAMBIA NI SHULE YA DEMOKRASIA? Miaka ya 1990s kulifanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia, Rais Kenneth Kaunda, baba wa taifa la Zambia alishindana na mwanasiasa kijana wa...
1 Reactions
0 Replies
637 Views
Sasa hivi Makamba anazunguka nchi nzima akieneza kampeni yake ya "Zuia mama na Moshi" Kiuhalisia hilo ni jukumu la waziri wa Afya ambaye ni Ummy Mwalimu. Makamba badala ya kutembea nchini...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom