ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga mkono lakini wapinzani wengine wao wanapinga kila kitu kinachokuja mbele yao.
Leo katika ziara ya Rais Samia Suluhu Kigoma Zitto kabwe amesema
“Nikiwa kiongozi wa kitaifa napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza sana [Rais Samia Suluhu] kwa juhudi kubwa zinazofanyika kuwaweka Watanzania pamoja bila kujali itikadi zao, kuwepo kwangu hapa ni ishara hiyo.”
Pia neno lingine kubwa kabisa alilotuasa watanzania ni
"Hotuba nyingi zimemuomba Rais mimi nawaomba nyie, Rais wetu anadhamira njema sana na matamanio makubwa sio kwa Kigoma tu ni nchi nzima niseme tu Mama huyu hapa mpokeeni tufanye naye kazi tulete mabadiliko katika nchi"
Hii inaonyesha ukomavu wa siasa Tanzania Rais Samia Suluhu amefanikiwa kuilejesha diplomasia iliyokua imepotea