Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF); Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF -...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Ndio maana tunaona, baadhi ya wapinzani wakitumika na watawala,ili kuwapindua wapinzani wenzao,kwenye vyama vyao halali....tatizo "Tumbo" Ndio maana tunawaona,wale waliotuaminisha kuwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya...
7 Reactions
10 Replies
983 Views
Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha...
1 Reactions
11 Replies
872 Views
Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi? Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Nimeshaangaa sana Kusikia ETI VYAMA vya SIASA VISUBIRI kwanza Mabadiliko ya Sheria ndipo Viruhusiwe Kufanya Mikutano ya Hadhara. Najiuliza Mbona CCM inafanya MIKUTANO ya HADHARA kwa nini...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tanzania ya enzi za Nyerere ikiheshimika kila pembe ya dunia haipo tena. Tanzania hiyo ilikuwa na misimamo yake iliyojulikana na isiyotetereka. Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote bila...
21 Reactions
109 Replies
5K Views
Hebu tujiulize " Kodi tunayolipa ni kwa matumizi gani?" Tunamfahamu fika kuwa serikali ina vyanzo vingi vya mapato ambayo yanachangia miradi ya maendeleo. Vyanzo hivi ni pamoja na mapato...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Samia Hassan- "Punguzeni kuzaana" Shaka Hamdu-" Endeleeni kuzaana" Tushike lipi...... Katika moja ya hotuba zake huko Geita.tulimsikia akisema... "Punguzeni kuzaana" Lakini nimekumbuka kuwa,mi...
1 Reactions
3 Replies
557 Views
SHAKA: MAENDELEO, RAIS SAMIA NI KULWA NA DOTO Asisitiza ajenda ya maendeleo kwa wananchi ipo katika mikono salama, Watanzania waendelee kumuunga mkono KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
JANUARY MAKAMBA AWE KIPIMO CHA MAWAZIRI WA RAIS SAMIA OKTOBA 12, 2022, nilihudhuria mkutano wa Waziri wa Nishati, January Makamba na waandishi wa habari. Mada ni “Clean Cooking” – “Upishi...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Ingekuwa enzi za mwendazake Maguful maneno yangekuwa mengi oooh hajui kiinglish.....oooh sijui nini lakin pale Ikulu leo waalikwa wamemuomba Rais Ruto azungumze kwa Kiswahili Ruto amesema Gesi...
12 Reactions
61 Replies
7K Views
Kisa Cha DC Jenerali Ulimwengu Na RC Mary Chipungahelo ' Mary Chips'- Ndugu zangu, Hoja hii imeibuliwa na Mjumbe wangu Rose-Chiku Rukkiyah mapema leo asubuhi. Niliahidi kuleta jukwaani kisa...
38 Reactions
235 Replies
44K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizima Majenereta na kuzindua umeme wa Gridi ya Taifa kwa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Kasulu Mjini tarehe 17 Oktoba...
11 Reactions
65 Replies
3K Views
KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri...
16 Reactions
62 Replies
4K Views
Ziara za Samia na Waziri Mkuu wake,Viongozi waandamizi wa CCM wote,wako kazini wakizunguka nchi nzima huku wakifanya mikutano ambayo,haina tofauti yoyote na ile ya Kampeni za uchaguzi mkuu. Kama...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
KIZUNGUMKUTI: Waweza ita hivyo ama vinginevyo, lakini katika hili linanipa shida kwa ninavyoendelea kukua, kuishi na kuyaona mambo yanayofanyika katika nchi hii. Najaribu kujiuliza ni lini basi...
0 Reactions
12 Replies
681 Views
Back
Top Bottom