Kachina95
Member
- Mar 7, 2019
- 63
- 211
Zaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika kuwa watoro kazini!
Ikumbukwe!
Pamoja na majukumu makubwa yanayofanywa na mwalimu hadi leo;
1. Mwalimu hana posho
2. Miaka saba sasa bila nyongeza ya mshahara
3. Kupanda kwa gharama za maisha ilihali mshahara uko pale pale na hana posho yoyote ya kumsaidia kupoza makali ya ugumu wa maisha!
4. Mwalimu wa Tanzania analipwa mshahara duni sana ukilinganisha na majukumu yake!
Je, suluhisho ni kuwadhihaki na kuwadharirisha waalimu hawa? Sababu ya unyonge wao?