Kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya .
Sitatoa Maelezo ila kila...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Jenista Mhagama amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewapandisha madaraja Watumishi 262,800 hadi kufikia September 2022.
“Rais Samia Suluhu...
Shikamoo Rais Samia
Huyu Kingai anaenda kutumaliza, visasi vingi na atahakikisha wabaye wake wanakipata cha mtemakuni.
Kingai haijui hata PGO, atakuwaje Mkurugenzi wa Upelelezi? Twafwa.
Kesi...
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani...
Heshima sana,
Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police 👮♀️.
Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote...
Kongamano la saba la kimataifa linaloendelea katika chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM ili wanya0yofundishwa yaendane na yale ya uhalisia wataj0ayokutana nayo katika ulimwengu wa nje ya vyuo yaani...
Niliingia bungeni ku-observe CSOs, NGOs, watu binafsi ambao wamewasilisha mapendekezo yao kuhusu sheria na miswada ya sheria inayopendekezwa.
Hata hivyo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria...
Taifa kwa sasa linaitaji kuwa na kipimo au utaalam unaoonesha mipaka ya utimamu na tatizo la akili. Pamoja na kwamba afya ya akili ni tatizo na lipo kama lilivyo tajwa lakini kwa ukosefu wa vituo...
TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, ameongoza kikao kazi baina ya TCRA na...
APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu.
Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais...
Suala la Ajira ni cross culting issuers katika nchi zinazoendelea Kwa sababu Uchumi katika nchi hizi umeshikiliwa na watu wachache siyo Jumuishi wala shirikishi. (Inclusive economy) matokeo yake...
Chama cha siasa kinachoongoza nchi kinajiita cha kijamaa wakati chenyewe kinaendesha nchi kibepari.
Kuna watu wanajifanya ni wapinzani lakini kutwa kucha wako bize kuisifia CCM.
Kuna watu ni...
Kwa saaa speed ya kupangua Ma-RPC inatisha sana haipiti mwezi wanapanguliwa na hapa tulipo huenda huu mwaka hautaisha utasikia tena pangua pangua.
Huyu Wambula kazidi sasa make haipiti mwezi...
Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi.
Mikoa ya pembezoni ina geography nzuri ya kibiashara, fursa nzuri ya kuvutia uwekezaji hasa hasa Kwa Viwanda vya Kilimo...
Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kuniwezesha kupata elimu bora kabla siasa za nchi yetu hazijashika hatamu katika ELIMU.
Tunaposema tunataka elimu ya MSINGI iwe miaka sita, kusiwe na mtihani darasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).
Prof. Aboud ni Profesa...
Next....
(1) Futa kidato cha Tano na Sita. Vyuo Vikuu vyote viwe na mwaka mmoja wa kufundisha Foundation courses mbili (i) Foundation course for Natural Sciences na (ii) Foundation course for...
Mbichi huko. Taarifa ni kuwa kuna fujo na mapigano ndani ya ukumbi uliopo ndani ya ofisi za ccm. Kuna mkutano wa kumchagua mwenyekiti wa CCM wilaya.
Muda mfupi uliopita nimeona gari ya polisi wa...
Wakuu,
Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi!
Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi!
Jamani hivi ni...
Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF);
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.