Hotuba ya Zitto Kabwe mbele ya Rais Samia Suluhu mkoani Kigoma

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
608
1,540
Hotuba yangu katika Mkutano wa Rais Samia Suluh Hassan katika Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma Leo 18/10/2022.

Mheshimiwa Rais nami nichukue nafasi Hii pia kukukaribisha mkoani kwetu. Siku 3 ambazo umekaa Nasi hapa Kigoma zimekuonyesha mafanikio yetu na changamoto zetu.

Nikiwa Kiongozi wa Kitaifa Napenda kukupongeza sana kwa juhudi kubwa zinazofanyika za kuwaweka Watanzania pamoja bila kujali itikadi za kisiasa. Uundwaji wa Kikosi Kazi kushughulikia masuala ya ushindani wa Kidemokrasia na mikutano yako na Vyama vya siasa imetuliza Hali ya Nchi yetu. Utulivu huu ni muhimu katika kuchochea shughuli za Maendeleo ya Watu wetu. Njia bora zaidi ya kuwaweka Watu pamoja ni kwa njia ya Maridhiano. Hii njia unayipita Ndio njia Sahihi.

Kadiri inavyowezekana tutasaidiana nawe kuimarisha mshikamano na Haki za Watu wetu.

Nitumie nafasi hii kukuomba uendelee kusimamia mageuzi Haya kama ambavyo ulieleza katika makala yako ya 4R tarehe mosi Julai 2022, ambayo kwetu sisi Ndio Msingi wa falsafa ya Uongozi wako. Mageuzi ya Kisiasa ni muhimu katika kujenga Taifa.

Ninaamini kuwa baada ya kikosi kazi kumaliza kazi yake tutaanza kuona mabadiliko ya kisheria yatakayoweka Sawa Ushindani wa kisiasa.

Vile vile Mheshimiwa Rais nikukumbushe kuwa hautakumbukwa na vizazi vijavyo kwa madaraja, barabara au viwanja vya Ndege nk bali Utakumbukwa Kwa mawazo ( ideas ). Hili la kujenga Maridhiano na kuwaweka Watu Pamoja Ndio itakuwa legacy yako.

Serikali yako imependekeza Bungeni Muswada wa Bima ya Afya Kwa wote. Ni Hatua kubwa sana. Hata hivyo baada uchambuzi wetu kuna maboresho ambayo tunayapendekeza. Ninaomba Serikali yako ipokee mawazo yetu na kuyafanyia kazi kwa lengo la kupata Mfumo bora zaidi.

Nikiwa Kiongozi wa kutoka Mkoa wa Kigoma Napenda kukushukuru Kwa jitihada za kuufungua Mkoa wa kigoma. Kazi iliyofanywa na wizara ya Nishati kuharakisha Umeme wa gridi ni ya kupongeza. Sasa ni Wajibu wetu wana kigoma kushawishi wawekezaji kuja kigoma kuwekeza.

Sisi Kigoma ni Mkoa wa Biashara kiasili. Eneo hili ndio lango la magharibi la Nchi yetu. Ninatambua kuwa sasa SGR inakuja Kigoma. Hapo mwanzo tulipata wasiwasi sana tulipoona wenzetu Mwanza wanapelekewa SGR kabla yetu. Hata hivyo sote ni Watanzania na zamu yetu imefika.

Ninachokiomba kwa msisitizo mkubwa ni kutimiza dhamira ya Kigoma kuwa Bandari ya mwisho kwa Bidhaa zinazokwenda Nchi za DRC na Burundi yaani CIF Kigoma. Wizara ya Uchukuzi ijitahidi kupata mwekezaji wa kwa kushirikiana na TPA kuendeleza Eneo la Bandari ya Katosho. Ndoto yako ya kuifanya Kigoma kuwa Great Lakes Trade and Logistics Hub itakuwa dhahiri kwa kupitia Bandari. Kigoma ina uwezo mkubwa wa kuchangia katika Pato la Taifa na Mapato ya Serikali. Naomba hili ulipe uzito wa kipekee. Vile vile Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umechelewa sana.

Kwa Wananchi wa Kigoma, nawaomba sana mumpokee na kumwunga mkono Rais wetu katika jitihada zake hizi. Mama yetu huyu Ana dhamira njema sana. Ni mtu rahimu sana. Tumwunge mkono atimize dhamira yake ya kuwa na Tanzania yenye Haki, Umoja na Mshikamano.

Asante sana

Zitto Kabwe
Kigoma
Oktoba 18, 2022
IMG-20221018-WA0005.jpg
 
Oktoba 18, 2022View attachment 2391115
Mnafiki wa Taifa,
 
Jamaaa alimpinga magu kwa sababu ya Dini yake
 
A mere Go Between in Politics
 
Wapinzani wanapofanya kazi ya Ma-kada (propaganda na kusifia) ni kheri tungefuta tu haya maigizo na hizi ngojera na kujua kwamba tuna Chama Kimoja, huenda tungesevu vijisenti ambavyo tusingehangaika kuvitafuta kwenye Tozo
 
Huyo jamaa hafai ni mdini sana na yuko kwa maslahi yake.mtakumbuka wakati anasoma kugoma seko alivunja msalaba na akafukuzwa shule wkt ile shule ilitwaliwa kutoka kwa wakristo na ile misalaba ilibaki mle madarasani yy akaona ni ukafiri na kwa kuwa Rais ni muislamu kwake hamna shida ila angekuwa mkristo ingekuwa tofauti hata angefanya mazuri kwake ingekuwa mabaya.
 
mtakumbuka wakati anasoma kugoma seko alivunja msalaba na akafukuzwa shule wkt ile shule ilitwaliwa kutoka kwa wakristo na ile misalaba ilibaki mle madarasani
Mpinge kwa hoja, si kwa uzushi. Hakuna darasa Kigoma sekondari lilikowa na msalaba. Labda kama ni moja ya simulizi zinazotungwa kumchafua.
 
Zitto anajikomba ili atengeneze mazingira ya kuwa kiongozi wa upinzani bungeni, kwa CCM kumuachia baadhi ya majimbo bara na Zanzibar. Hakuna lolote. Tatizo ni kwamba CHADEMA nao wamekubali kufungwa kwenye kitanzi maridhiano ambayo hayapo.
 
Hotuba yangu katika Mkutano wa Rais Samia Suluh Hassan katika Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma Leo 18/10/2022.

Mheshimiwa Rais nami nichukue nafasi Hii pia kukukaribisha mkoani kwetu. Siku 3 ambazo umekaa Nasi hapa Kigoma zimekuonyesha mafanikio yetu na changamoto zetu.

Nikiwa Kiongozi wa Kitaifa Napenda kukupongeza sana kwa juhudi kubwa zinazofanyika za kuwaweka Watanzania pamoja bila kujali itikadi za kisiasa. Uundwaji wa Kikosi Kazi kushughulikia masuala ya ushindani wa Kidemokrasia na mikutano yako na Vyama vya siasa imetuliza Hali ya Nchi yetu. Utulivu huu ni muhimu katika kuchochea shughuli za Maendeleo ya Watu wetu. Njia bora zaidi ya kuwaweka Watu pamoja ni kwa njia ya Maridhiano. Hii njia unayipita Ndio njia Sahihi.

Kadiri inavyowezekana tutasaidiana nawe kuimarisha mshikamano na Haki za Watu wetu.

Nitumie nafasi hii kukuomba uendelee kusimamia mageuzi Haya kama ambavyo ulieleza katika makala yako ya 4R tarehe mosi Julai 2022, ambayo kwetu sisi Ndio Msingi wa falsafa ya Uongozi wako. Mageuzi ya Kisiasa ni muhimu katika kujenga Taifa.

Ninaamini kuwa baada ya kikosi kazi kumaliza kazi yake tutaanza kuona mabadiliko ya kisheria yatakayoweka Sawa Ushindani wa kisiasa.

Vile vile Mheshimiwa Rais nikukumbushe kuwa hautakumbukwa na vizazi vijavyo kwa madaraja, barabara au viwanja vya Ndege nk bali Utakumbukwa Kwa mawazo ( ideas ). Hili la kujenga Maridhiano na kuwaweka Watu Pamoja Ndio itakuwa legacy yako.

Serikali yako imependekeza Bungeni Muswada wa Bima ya Afya Kwa wote. Ni Hatua kubwa sana. Hata hivyo baada uchambuzi wetu kuna maboresho ambayo tunayapendekeza. Ninaomba Serikali yako ipokee mawazo yetu na kuyafanyia kazi kwa lengo la kupata Mfumo bora zaidi.

Nikiwa Kiongozi wa kutoka Mkoa wa Kigoma Napenda kukushukuru Kwa jitihada za kuufungua Mkoa wa kigoma. Kazi iliyofanywa na wizara ya Nishati kuharakisha Umeme wa gridi ni ya kupongeza. Sasa ni Wajibu wetu wana kigoma kushawishi wawekezaji kuja kigoma kuwekeza.

Sisi Kigoma ni Mkoa wa Biashara kiasili. Eneo hili ndio lango la magharibi la Nchi yetu. Ninatambua kuwa sasa SGR inakuja Kigoma. Hapo mwanzo tulipata wasiwasi sana tulipoona wenzetu Mwanza wanapelekewa SGR kabla yetu. Hata hivyo sote ni Watanzania na zamu yetu imefika.

Ninachokiomba kwa msisitizo mkubwa ni kutimiza dhamira ya Kigoma kuwa Bandari ya mwisho kwa Bidhaa zinazokwenda Nchi za DRC na Burundi yaani CIF Kigoma. Wizara ya Uchukuzi ijitahidi kupata mwekezaji wa kwa kushirikiana na TPA kuendeleza Eneo la Bandari ya Katosho. Ndoto yako ya kuifanya Kigoma kuwa Great Lakes Trade and Logistics Hub itakuwa dhahiri kwa kupitia Bandari. Kigoma ina uwezo mkubwa wa kuchangia katika Pato la Taifa na Mapato ya Serikali. Naomba hili ulipe uzito wa kipekee. Vile vile Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umechelewa sana.

Kwa Wananchi wa Kigoma, nawaomba sana mumpokee na kumwunga mkono Rais wetu katika jitihada zake hizi. Mama yetu huyu Ana dhamira njema sana. Ni mtu rahimu sana. Tumwunge mkono atimize dhamira yake ya kuwa na Tanzania yenye Haki, Umoja na Mshikamano.

Asante sana

Zitto Kabwe
Kigoma
Oktoba 18, 2022View attachment 2391115
What Zitto is doing is to frog a dead pig. Useless! Just noisy for nothing! Of course, anajaribu kusikika ili rais amsikie. Amejitahidi weee! Amesifia weeee! hadi kachoka. Mwanzo niliamini alitegemea upendeleo wa ki-dini bado ameukosa hadi sasa. Naona sasa anafanya tunachoita dying-pig.
Zitto need to learn ... when pigs fly...............
 
Hotuba yangu katika Mkutano wa Rais Samia Suluh Hassan katika Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma Leo 18/10/2022.

Mheshimiwa Rais nami nichukue nafasi Hii pia kukukaribisha mkoani kwetu. Siku 3 ambazo umekaa Nasi hapa Kigoma zimekuonyesha mafanikio yetu na changamoto zetu.

Nikiwa Kiongozi wa Kitaifa Napenda kukupongeza sana kwa juhudi kubwa zinazofanyika za kuwaweka Watanzania pamoja bila kujali itikadi za kisiasa. Uundwaji wa Kikosi Kazi kushughulikia masuala ya ushindani wa Kidemokrasia na mikutano yako na Vyama vya siasa imetuliza Hali ya Nchi yetu. Utulivu huu ni muhimu katika kuchochea shughuli za Maendeleo ya Watu wetu. Njia bora zaidi ya kuwaweka Watu pamoja ni kwa njia ya Maridhiano. Hii njia unayipita Ndio njia Sahihi.

Kadiri inavyowezekana tutasaidiana nawe kuimarisha mshikamano na Haki za Watu wetu.

Nitumie nafasi hii kukuomba uendelee kusimamia mageuzi Haya kama ambavyo ulieleza katika makala yako ya 4R tarehe mosi Julai 2022, ambayo kwetu sisi Ndio Msingi wa falsafa ya Uongozi wako. Mageuzi ya Kisiasa ni muhimu katika kujenga Taifa.

Ninaamini kuwa baada ya kikosi kazi kumaliza kazi yake tutaanza kuona mabadiliko ya kisheria yatakayoweka Sawa Ushindani wa kisiasa.

Vile vile Mheshimiwa Rais nikukumbushe kuwa hautakumbukwa na vizazi vijavyo kwa madaraja, barabara au viwanja vya Ndege nk bali Utakumbukwa Kwa mawazo ( ideas ). Hili la kujenga Maridhiano na kuwaweka Watu Pamoja Ndio itakuwa legacy yako.

Serikali yako imependekeza Bungeni Muswada wa Bima ya Afya Kwa wote. Ni Hatua kubwa sana. Hata hivyo baada uchambuzi wetu kuna maboresho ambayo tunayapendekeza. Ninaomba Serikali yako ipokee mawazo yetu na kuyafanyia kazi kwa lengo la kupata Mfumo bora zaidi.

Nikiwa Kiongozi wa kutoka Mkoa wa Kigoma Napenda kukushukuru Kwa jitihada za kuufungua Mkoa wa kigoma. Kazi iliyofanywa na wizara ya Nishati kuharakisha Umeme wa gridi ni ya kupongeza. Sasa ni Wajibu wetu wana kigoma kushawishi wawekezaji kuja kigoma kuwekeza.

Sisi Kigoma ni Mkoa wa Biashara kiasili. Eneo hili ndio lango la magharibi la Nchi yetu. Ninatambua kuwa sasa SGR inakuja Kigoma. Hapo mwanzo tulipata wasiwasi sana tulipoona wenzetu Mwanza wanapelekewa SGR kabla yetu. Hata hivyo sote ni Watanzania na zamu yetu imefika.

Ninachokiomba kwa msisitizo mkubwa ni kutimiza dhamira ya Kigoma kuwa Bandari ya mwisho kwa Bidhaa zinazokwenda Nchi za DRC na Burundi yaani CIF Kigoma. Wizara ya Uchukuzi ijitahidi kupata mwekezaji wa kwa kushirikiana na TPA kuendeleza Eneo la Bandari ya Katosho. Ndoto yako ya kuifanya Kigoma kuwa Great Lakes Trade and Logistics Hub itakuwa dhahiri kwa kupitia Bandari. Kigoma ina uwezo mkubwa wa kuchangia katika Pato la Taifa na Mapato ya Serikali. Naomba hili ulipe uzito wa kipekee. Vile vile Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umechelewa sana.

Kwa Wananchi wa Kigoma, nawaomba sana mumpokee na kumwunga mkono Rais wetu katika jitihada zake hizi. Mama yetu huyu Ana dhamira njema sana. Ni mtu rahimu sana. Tumwunge mkono atimize dhamira yake ya kuwa na Tanzania yenye Haki, Umoja na Mshikamano.

Asante sana

Zitto Kabwe
Kigoma
Oktoba 18, 2022View attachment 2391115
Ulitegemea zito aongee nini.

Huyu ni CCM damu zaidi hata ya majaliwa
 
Back
Top Bottom