Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje? Kama Waziri mwenye dhamana hana majibu...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine. Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mheshimiwa waziri wa kilimo salam, Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku. Mtu unaenda leo...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia. Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!. Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda...
10 Reactions
95 Replies
7K Views
SAKATA LA MAKONDA! WAKO WAPI WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI? Jamaa anaedai Kumdai Alokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu, Paul Makonda kumbe ni Tapeli na Kashatapeli wengi tu Hapa Nchini...
5 Reactions
113 Replies
11K Views
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume...
12 Reactions
22 Replies
3K Views
Licha ya Hawa Mwaifunga ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kufika Mahakamani hapo, hakuweza kuendelea na ushahidi kutokana kuumwa mgongo. Jaji Cyprian...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mufindi. Moto umezuka saa saba usiku wa kuamkia leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 pembezoni mwa Soko la Mafinga Mjini Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na kuteketeza vibanda 15 na mali za wafanyabiashara...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Januari Makamba amesema Serikali inatarajia kusaini makubaliano ya mwisho kuhusu mradi wa uchakataji gesi mkoani Lindi ifikapo Novemba 2022. Kufuatia utiliaji...
1 Reactions
2 Replies
591 Views
Mkurugenzi wa TAKUKURU, Valentino Mlowola amesema Kesi ya Ukwepaji Kodi ya LAKE OIL Uchunguzi umekamilika, mtuhumiwa amepewa miezi miwili kurejesha Kwa umma Bilioni 8.5!
12 Reactions
197 Replies
45K Views
Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Leo 19/10/2022 , Rufaa ya maombi ya Jinai iliyokatwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Paulo Makonda , IMEANZA KUSIKILIZWA ...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Rais amesikia kilio chetu uwepo wa wabunge wasiojua wanafanya nini bungeni mwisho ni 2025. Rais ametanabaisha lipo kundi la viongozi waliochaguliwa tu kwasababu ya mawazo ya mtu fulani na si kwa...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Ubalozi wa China nchini Tanzania umeikituhumu chombo cha habari cha Uingereza(BBC) kwa kutunga habari. Ubalozi huo umesema habari ya China kufungua vituo vya polisi Afrika Mashariki ikiwemo...
2 Reactions
6 Replies
908 Views
Chongolo: Wasaliti wafukuzwe CCM. Imeelezwa kuwa usaliti ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ndiyo chanzo kikubwa cha matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Hayo...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Ripoti Imesheheni mapendekezo manono Mikutano ya hadhara kuruhusiwa rasmi Mchakato wa katiba mpya kukamilishwa Tume huru yanukia Hii ndio Taarifa ya Leo kutoka kwenye Gazeti la Raia Mwema...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia: "This time...
18 Reactions
75 Replies
8K Views
Back
Top Bottom