Tundu Lissu amjibu Biswalo Mganga kuhusu madai yake kuwa ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.

Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?

Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
 
Mbn km hii habari Ni tangu 2020 ktk kura za maoni pale mliman City
Lissu versus Nyarandu!
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?

Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
 
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.

Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?

Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
Nimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !

Hivi anapataje vyeo vikubwa mtu kama Biswalo Mganga , ni mweupe kuliko karatasi yaani !!
 
Hivi hawa na yule muovu ni ndugu? 1. Biswalo Mganga, 2. Doto James, 3. Wilson Mahera, 4. Kalemani--

Wanafanana na lile jambazi. Hiki ni kizazi cha yule muovu!
 
huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !
Nzuri
2a5-1.gif
 
Nimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !

Hivi anapataje vyeo vikubwa mtu kama Biswalo Mganga , ni mweupe kuliko karatasi yaani !!
🤣🤣🤣mkuu sio kwamba ni mweupe kiasi hicho ila wakiwaga kwenye serikali ya chama chakavu huwa wanatolewa akili za asili
 
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.

Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?

Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
😁🤔🤔🤔
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Hii ni Tanzania
Nimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !

Hivi anapataje vyeo vikubwa mtu kama Biswalo Mganga , ni mweupe kuliko karatasi yaani !!
 
Warioba , Butiku, Shvji, Msuya na wazee baadhi
Yawezekana ila wapo ndani ya box hawana neno,wanajaribu kuwa Neutral na CCM wanafahamu kuwa hawana madhara.Wameufyata!
Tusidanganyike,kuna pande mbili tu katika Tanganyika nazo ni CCM vs Wananchi au watetezi wa CCM na wapinzani wa CCM au ukipenda tunaodai Katiba Mpya vs CCM &Serikali.
Katiba Mpya ya Wananchi ni Sasa.
 
Back
Top Bottom