Waziri Mkuu wa Uingereza angemtukana Boris Johnson, leo hii angejificha!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,411
8,911
Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.

Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …

Anaondoka
1666340971179.jpeg

Siajabu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
1666341033640.jpeg
 
View attachment 2393594

Siababu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Usifananishe nchi za binadamu na nchi za manyani yaani shithole counties.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.

Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …

Anaondoka
View attachment 2393594

Siajabu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Lizz aombe uraia Tanzania na ajiunge CCM kisha 2025 agombee urais na atakuwa rais kisha ale mshahara wake, poa tu.
 
Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.

Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …

Anaondoka
View attachment 2393594

Siajabu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Jpm ndo alianzisha hii tabia ya kudhalilisha watu. Alimsimanga jk weeeeee baba watu akanyamaza. Akaona haitoshi akaamua kumtafa kumuua kwakutumia kikosi kazi. Jk akaona aanze kusafili ovyoovyo nje ili asimpate baada ya kutonywa na kangi lugola. Akaona amalizie hasira kwa kumuua Ben mkapa. Ee mungu tunakushukuru kutuondolea lile jibwa Mana lingemaliza Kila anayekinzana naye na angejikuta amebaki peke yake ananiongoza mwenyewe.
 
Weusi tu utakuta wana mambo haya kwa sababu wanaingia madarakani wakijua wanaenda kuiba
Ndio maana kubaki madarakani au kuingia ni lazima wahonge sana na kuwa na miguvu ya kijinga
 
Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.

Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …

Anaondoka
View attachment 2393594

Siajabu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Ni kweli lakini hebu tujikumbushe, si marehemu ndiye alianzisha huu utaratibu?
 
Back
Top Bottom