Sasa yule jamaa wa ccm kakamatwa na kufungwa kwa kutoa maoni yake tatizo ni nini je haturuhusiwi kutoa maoni au kumsema Rais!!
Rais lazima atambue anaishi kwa kodi za walala hoi hvyo lazima...
Kwa wasionifahamu (angalau kwa ufahamu wa humu JamiiForums), mimi ni kada kindakindaki wa CCM. Nimejiunga na chama hiki miaka ya mwanzoni mwa 80 baada tu ya kuhitimu shahada yangu Chuo Kikuu cha...
Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo...
Maoni kuhusu Mbunge/Wabunge kivuli/Vivuli (Shadow Member of the Parliament)
Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa (Mwanasheria)
Kwani Prof. Rwekaza ni Professor wa sheria?
Kwanini hakupewa chairman...
Kada wa CCM amehukumiwa miaka saba jela na faini ya mamilioni kwa kile kinachosemekana ni kutoa maoni Yake kuhusu Utendaji wa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Raisi.
Wapo wanashangilia jambo hili...
Kwanza nitangulie kusema kuwa sina chuki waka hila na mh. Waziri Mkuu Majaliwa. Waziri mkuu ndiye msimamizi wa shughuli ZOTE za kiserikali nchini.
Hata hivyo hili nililolisikia kwenye vyombo vya...
Hali ya wananchi wilaya ya Moshi , eneo la mwika mamia ya watu wamepatwa na ugonjwa wa hatari wa kuharisha na kutaapika baada ya kutumia maji ya RUWASA.
Kilio hili kimemfikia mkuu wa mkoa wa...
Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa...
Habari za leo wana jukwaa,
Kama kichwa kinavyosomeka, Rais wa DRC amewasili nchini kupitia Zanzibar ambako atapumzika na kisha kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini ya siku 4.
Pamoja na mambo...
Kama kwa miaka miwili mliweza
1. Kupasua miamba,
2. Ujenzi wa njia kubwa ya kuchepusha maji ardhini( diversion tunnel).
3. Sehemu ya kufua umeme( power house)
4. Ujenzi wa ukuta mkubwa wa bwawa...
Kikosi kazi kilisahau jambo Muhimu sana ambalo ni elimu za wagombea wa nafasi za kisiasa.
Ilitakiwa Ili uchukue fomu ya kugombea urais mgombea awe na PhD na Sio vinginevyo.
2. Kuchukua fomu ya...
Salaam,
Moja kati ya mambo muhimu kwa taifa letu tunayoweka uvivu kuyarekebisha ni hili la Elimu. Kiukweli hatutoweza kufikia maendeleo endelevu bila kuwekeza vyema kwenye elimu ya teknolojia...
Ubalozi wa India nchini Tanzania umewatahadharisha raia wake wote kutokubali kuajiriwa na kampuni ya MeTL ya Mo Dewji.
Hatua hiyo imekuja baada ya kupata taarifa za manyanyaso kwa wafanyakazi hao...
Habari zenu ndugu wana Simiyu wenzangu na vijana wenzangu, imani yangu kila mmoja anachapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu hili.
Leo nimewiwa nami kuzungumza kidogo kuhusiana na...
Jamani Nani ambaye haoni how strong, stable minded and good visionary Rais Samia anavyoonesha?
Kwa sasa nchi Ina mikakati, sera nzuri za kuwavutia wawekezaji, sera ambazo haziwakimbizi wawekezaji...
Nimeisikiliza hotuba ya professor Mkandala imejaa woga mtupu,na hii ni mbinu ya kuchelewesha CCM kuondoka madarakani,
Kwahiyo serikali nayo ikae miezi 10 inachakata maoni ya tume ya...
Binafsi namuona mama anafanya delay tactic kwa kuanzisha michakato mingi na kuwaambia wapinzani wasubiri michakato ambayo itarefuuushwa hadi 2025 bila kukamilika.
Kukusanya maoni ya kikosi kazi...
Kuna kauli nimekuwa nikiisikia kwa huyu January Makamba na sasa ni mara yapili kuwa mradi wa JNPP umefikia asilia 74 toka alipopokea ambapo ulikuwa 37%.
Kwanza hatuna uhakika na hizo asilimia...
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Jerry C. Muro leo tarehe 21/10/2022 akiambatana na viongozi wa kamati ya usalama ya wilaya pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya wamefanya ziara ya kutembelea...
Miradi ya mingi ya TARURA ina matatizo ya usimamizi.
Makandarasi walio chaguliwa kwenye tenda za TARURA wengi ni wababaishaji na hivyo kukosa viwango vya kutekekeza miradi.
Waziri Mkuu Majaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.