ACT Wazalendo wataka kusitishwa mchakato Bima ya Afya
Muktasari:
ACT - Wazalendo imemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kumwagiza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kusisitisha mara moja mchakato wa muswada...
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi...
Ukombozi ni damu.
Yesu Kristo alimwaga Damu tukapata ukombozi. Wote tu wanaomwamini Kristo haijalishi wewe ni nani.
Mataifa yote yenye ukombozi damu ilihusika. Hii ni sawa na kusema kipimo cha...
Kama taifa kuwa na idadi kama hii ya wanafunzi wa kidato cha pili wasiojua kusoma na kuandika ni aibu sana.
Waziri wa elimu aliyepita inafaa awajibike ili liwe fundisho kwa wengine.
Jina la JPM ndo lenye nguvu inchini kuliko vyama vyovyote vya siasa
Chama chochote hapa inchini Tanzania kitakacho tumia legacy ya JPM kwenye 100% ya kushinda uchaguzi wana 90% ya kushinda...
Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali.
Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu.
Cwt haifanyi...
Tumeambiwa kuwa inakuja sera mpya ya elimu nchini ambayo elimu ya msingi itaishia darasa la sita.
Na kwamba baada ya hapo wanafunzi wanabadili majengo na kwenda mengine yanaitwa Sekondari hadi...
Eti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga?
Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote...
Kauli hii ya kukatisha tamaa, ameitoa Rais Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akipokea Mapendezo ya Kikosi kazi alichokiunda Mwenyewe cha kuratibu maoni kuhusiana na Katiba Mpya kutoka kwa kiongozi wa...
Bima ya Afya kwa wote iliwekwa katika mipango ya Kulazimisha Wanananchi kupata kadi yake, ilipangwa kwamba asiye na hiyo kadi yao ya bima apoteze haki za kupata na line ya simu, kitambulisho cha...
TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA JUU YA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA
Cairo-Misri
Mapema Tarehe 16 October Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alikutana na Waziri wa Maji nchi Misri...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria , Ezekia Wenje , mmoja wa Wahanga wa Uchaguzi wa 2020 , ambaye Mkutano wake wa mwisho wa Kampeni Ulimiminiwa risasi utadhani Ukraine , na kumuua Kaka...
Nitawaletea Dondoo za Hotuba hii.Nakala ya Hotuba Nzima watapewa waandishi wa Habari baada ya Hotuba kwa faida ya sanaa ya Habari ili Vyombo vya Habari viripoti kwa Weledi na ufasaha
-Tayari...
Kupitia makala aliyoituma leo ili kuadhimisha Siku ya Demokrasia Duniani, Rais Samia amesema:
"Vyama vya Siasa vimekuwa vikidai kuruhusiwa kuendelea kufanya kazi za kisiasa, hususan, kufanya...
Kuwa diaspora hasa hapa US ilikuwa kitu kigumu sana hasa kwa vijana wengi ambao tuliondoka tukiwa na miaka 1997-2001 baada ya kumaliza high school. Sio tu kulikuwa hakuna Watanzania wengi miaka...
Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili?
Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za...
Aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani , Mutafungwa , ameondolewa na kurejeshwa kwenye U RPC na kupelekwa Mkoa wa Mwanza .
Aliyekuwa RPC wa Mwanza Ramadhan Nghazi amepewa kuongoza...
Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.