Rufaa ya Saed Kubenea dhidi ya Makonda yaanza yatajwa Mahakamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,373
217,432
Leo 19/10/2022 , Rufaa ya maombi ya Jinai iliyokatwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Paulo Makonda , IMEANZA KUSIKILIZWA .

Kubenea anakata rufaa kupinga kunyimwa kibali na DPP cha kumburuza Mahakamani Makonda kwa makosa ya Matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo , unyang'anyi, uporaji na uvamizi, ukiwemo uvamizi wa Studio za Clouds media akiwa na mitutu ya bunduki.

Rufaa hiyo inasikilizwa na Jaji Elinaza Luvanda , huku Kubenea akiwakilishwa na wakili Hekima Mwasipu na Makonda anawakilishwa na Goodchance Reginald, ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi 17 Novemba 2022

Chanzo: Mwananchi
 
Hata vichaa wanachunguzwa kwanza halafu ndio wanatibiwa
Hata wewe unao ukichaa wako,maana huwa unajaribu kueneza na kufurahia visasi,lakini mwisho wa siku unaishia kurudi nyumbani na kulala.

Nini tofauti yako na kichaa?
Kama wote ni wazurulaji,isipokuwa mnatoutiana viwanja vya kufanyia kichaa tu!
 
Namnukuu Makonda kwenye post yake huko mtandaoni Instagram "..ukiona maji yametulia, ujue kina kirefu.."
 
Siku lile sambwanda likisweka lupango itakuwa sherehe kubwa huko lupango jinsi wasela watakavyojimegea
 
Siku lile sambwanda likisweka lupango itakuwa sherehe kubwa huko lupango jinsi wasela watakavyojimegea
Mtakaa kijiweni mkiomba duwa za kuku kwa mwewe mpaka 2030.....

Na atakayekuja tena huenda akawa balaa zaidi
Kwa wakaanga sumu kama type yako.
 
Leo 19/10/2022 , Rufaa ya maombi ya Jinai iliyokatwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Paulo Makonda , IMEANZA KUSIKILIZWA .

Kubenea anakata rufaa kupinga kunyimwa kibali na DPP cha kumburuza Mahakamani Makonda kwa makosa ya Matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo , unyang'anyi, uporaji na uvamizi, ukiwemo uvamizi wa Studio za Clouds media akiwa na mitutu ya bunduki.

Rufaa hiyo inasikilizwa na Jaji Elinaza Luvanda , huku Kubenea akiwakilishwa na wakili Hekima Mwasipu na Makonda anawakilishwa na Goodchance Reginald, ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi 17 Novemba 2022

Chanzo: Mwananchi
Hii kesi zaidi ya kutafuta umaarufu haitafika popote...as long as jamhuri haina nia kubenea ataishia kuhangaika kutafta tu umaarufu.
 
Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
 
Ile nyumba aliyoporwa na GSM karudishiwa ?
Kwani wewe hujui GSM ni mali ya JK?

Je!
Hujui kwamba Ridhiwani alipelekwa pale Ardhi kimkakati?

Pale kilichoendelea itakuwa Makonda aliitwa na kuulizwa ametumia kiasi fani mpaka sasa,ili arudishiwe.

Na huenda alileta usumbufu na ndio maana tunaona huu mkakati unaoendea wa hizi kesi,ili kumuweka akilivsawa,na ili akubali yaishe!
 
Kila ubaya utalipwa yaani !!
 
Kila ubaya utalipwa yaani !!
Ndio maana uliona kule kwenye Mpira ....Manara alipohamia GSM-Yanga,na kuugundua ukweli....
Na yeye akawa na kibri ghafla kwa kujuwa yuko Backed na Msoga ila akapitiliza mstari.

Kibri ilikuja alipoweza kuongea na Samia kwenye simu live siku ile wakichangia harambee ya mtoto wa ndugu yake Gharib aliyekuwa na uhitaji wa matibabu ya moyo na Samia akato M kadhaa sikumbuki vizuri ila kati ya 10-15 hivi.
 
Back
Top Bottom