PCCB: Kesi ya UKWEPAJI KODI ya Lake Oil imekamilika, tumewapa miezi 2 kulipa bilioni 8.5 kwa umma

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mkurugenzi wa TAKUKURU, Valentino Mlowola amesema Kesi ya Ukwepaji Kodi ya LAKE OIL Uchunguzi umekamilika, mtuhumiwa amepewa miezi miwili kurejesha Kwa umma Bilioni 8.5!
IMG-20160126-WA0007.jpg
 
Itungwe sheria maalum kwa hao wanaojifanya bidhaa ni za transit lakini waziingiza soko la ndani. Haitoshi kulipa kodi waliyokwepa hao. Moja, walipe kodi husika. Pili watozwe faini sawa na asilimia 100 ya kodi waliyokwepa na tatu wahusika waende jela si chini ya miaka mitano bila msamaha wa aina yoyote.
 
R1_JK &BM Mpo?
JK kilio cha binadamu ni sala mbele za Mwenyezi Mungu.....UTAVUNA ULICHOPANDA DODOMA!


Safi sana. Warudishe kwanza kodi walizokwepa. Mengine baadaye, au baada ya kurejesha kodi wapigwe faini nzuri ili wasirudie kosa. Taifa linawahitaji kwa sababu wanatoa huduma,kodi pamoja na ajira-ni sehemu ya ukuaji uchumi tunaouzungumzia.Walikwepa kodi kwa sababu wahusika walikua wamelala -sasa wameamshwa na wanachakarika kama kazi.
 
Back
Top Bottom