Sakata la Makonda na Utapeli wa Gari: Kamwelwe(Mwenye gari) anadaiwa ni mkimbizi, tapeli na katimuliwa Burundi

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
388
270
d8608851-32e4-47f6-9fa4-bc386a38dcf7.jpg

SAKATA LA MAKONDA! WAKO WAPI WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI?

Jamaa anaedai Kumdai Alokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu, Paul Makonda kumbe ni Tapeli na Kashatapeli wengi tu Hapa Nchini Tanzania.

Cha Ajabu ni Waandishi wetu kuandika Habari Nyepesi nyepesi na Kuacha Mambo ya Msingi sana yanayo Muhusu Bwana Kamwelwe.

Taarifa zinaonesha kuwa Kamwelwe ni Tapeli wa Kimataifa na Kwao ni Burundi, Watu waliotapeliwa na Mrundi huyo ni wengi sana. Lakini mshangao ni Kwanini tapeli aonekane Malaika wakati taarifa zake zinajulikana huko Mtaani?

Sio Wema tu aliewahi kulalamika wala siyo wafanya biashara wa Madini, Muhuni Kamwelwe kashawaliza Wengi sana Hapa Nchini mpaka akakimbia Tanzania baada ya Kujua anakaribia Kukamatwa kwa Utapeli wake.

Yani kila kona anatapeli huku akisafishwa ma magazeti wakati kumbe hata nchini kwake ni BURUDI.

Na Inasemekana huko Burundi kwao haruhusiwi kukanyaga Sababu Serikali ina Taarifa za Utapeli wake na Imemtimua.

Sasa Ajabu ni Mkimbizi anasumbua Raia wa Nchi yao na Taariza za Uchafu wake watu hawazichimbui.

Tizama hizi Nyaraka Muhuni alivyo Gushi.

Sauti kutoka Nyikani
bceba500-492b-4f40-957a-d913e589f909.jpg
 
Sasa Ajabu ni Mkimbizi anasumbua Raia wa Nchi yao na Taariza za Uchafu wake watu hawazichimbui.

Tizama hizi Nyaraka Muhuni alivyo Gushi.

Sauti kutoka Nyikani
Kwa hiyo Warundi hawaruhusiwi kufanya biashara Tanzania, au wakifanya tunapaswa kuwanyang'anya magari yao?

Mbona unatoa mbofu mbofu sana>? Gari imeenda kwa Makonda bila kulipiwa, unasema huyu tapeli. Kama Makonda amekutuma mwambie hata kama Kamwele ni mrundi, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Unatia kichefuchefu na ubaguzi wako. Hovyo kabisa wewe mtu. Utapeli wa Kamwele na ukoseshaji wa Makonda wa haki za kuishi za watu, upi mbaya zaidi? Na mwambie Makonda ashukuru urafiki wake na Samia ndio umemuokoa hadi sasa - lakini hata Samia anaogopa kumgusa, anavyonuka damu za Watanzania, na wala si Warundi..
 
Hapa ndipo unaweza kujua roho na akili za watanzania zilivyo.

Wapo radhi (kama kweli) jamaa ni tapeli asishikiliwe au kukamatwa hata kwa kugushi, kupata vitambulisho kisa tu Makonda.

Nilitegemea kuona komenti za akamatwe kwanza na wakati yupo rokapu ndipo mjadala wa gari uendelee but tupo negative na huyo 'sijui' mhalifu plus!
 
Utakuwa na tatizo kichwani wewe tupe ushaidi Wautapeli wake maana yeye kashatoa utapeli wa huyo ndugu yako Makonda na kila kitu kiko wazi, Hata hivyo hata kama ni tapeli anatakiwa haki yake ilindwe haijalishi kwamba ni Mrundi au mkenya kikubwa yupo hapa kwetu na anafanya kazi ya kuiletea maendeleo nchi
 
Hapa ipo mimi ona tapeli dogo makutana na tapeli kuba. Piga gumi piga teke ingia lingoni gumi moja kund…u juu.
 
Hapa ndipo unaweza kujua roho na akili za watanzania zilivyo.

Wapo radhi (kama kweli) jamaa ni tapeli asishikiliwe au kukamatwa hata kwa kugushi, kupata vitambulisho kisa tu Makonda.

Nilitegemea kuona komenti za akamatwe kwanza na wakati yupo rokapu ndipo mjadala wa gari uendelee but tupo negative na huyo 'sijui' mhalifu plus!
Wewe ndiye mwenye matatizo.
Kati ya tuhuma za Makonda kupora gari na mporwaji kutuhumiwa kagushi nyaraka mara sijui ni tapeli zipi zimeanza kufika mahakamani?.

Makonda aeleze kwanza gari alilipataje baadae tuhuma za huyo ndugu zitashughulikiwa tu.
 
Kwanza ni aibu kwa serikali maana gari la kitapeli lilikuwa linabadilishwa plate number na kusomeka RC DSM na bendera ya taifa inapepea hapahapa Dar huku viongozi wakuu wakiona na kufumba macho. Hiyo ni Dar kwenye macho yote, jee huko Namanyere inakuwaje?

Huyu tapeli na jizi ashughulikiwe kwanza hayo ya uhamiaje kama yapo yatafuata baadae

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom