Wanabodi,
Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cabin crew 10!.
Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa...
Wanabodi,
Utangulizi
Kwanza niungane na Watanzania wenzangu kutoa pole kwa Watanzania wenzetu waliopoteza maisha katika tetemeko hili, kuwatakia uponaji wa haraka wa majeruhi na kuunganisha nguvu...
WALIOONYESHA UBOVU WA BARABARA NGORONGORO MATATANI…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watu waliotumia Mitandao ya amii kuonesha ubovu wa...
Waziri wa Kilimo Bashe amewataka Wabunge na wananchi wote kwa ujumla kuacha kuingiza siasa kwenye kilimo. Bashe amesema tuache soko liamue kwenye bei za mazao ili tusirudie makosa ya 2017...
Lango la kuingia nchini linapokosa mtu makini lawama na kudumaa Kwa huduma lazima kuwepo; Kwa kipindi kifupi toka kuzinduliwa Kwa terminal 3 madhaifu yafuatayo yapo wazi na Kila msafiri makini...
Ndugu zangu naandika hii taarifa nikiwa mnyonge kama kinda la ndege lililonyeshewa na mvua ya mawe baada ya kutelekezwa na mama yake. Sitaki kuwachosha na maneno mengi ngoja niende kwenye mada...
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na...
Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji...
ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma
Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya:
1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima
2. Nilishinda...
Habarini wakuu? Poleni na majukumu mengi.
Prof Makame Mbarawa nimemsikia, kumuona kitambo sana!
Simuoni kwenye harakati, hafla, warsha, zinduzi za miradi mbalimbali hasa ile ya kwenye Wizara...
Rais wetu Mh. John Pombe Magufuli anaposema Tanzania ni nchi tajiri ila kuna watu wachache walituchezea inawezekana wachache ndio wanamuelewa.
Tanzania ni nchi iliyojaliwa vyanzo vingi vya uvuvi...
Hivi watumishi wa umma wa taifa hili mnajitambua kweli, nyinyi na vyama vyenu vya wafanyakazi?
Nyinyi ndio mnaokuwa wa kwanza kudai mboreshewe maslahi na Serikali kila mwaka, mnadhani hizo pesa za...
Wakati wawakilishi wetu wanapambana kule bungeni wakikemea na kuwaweka kati mafisadi ,sisi kama raia tunapaswa kuwaunga mkono katika jambo hili.
Jambo hili ni letu sote, pesa ni za wavuja jasho...
Mbunge Luhaga Mpina amehoji ni kwa nini kampuni ya Symbion ililipwa pesa zaidi ya bilioni Mia tatu bila kutozwa kodi ya Serikali?
Amehoji pia ni kwa nini mkataba wa symbion uliokuwa unakoma 2015...
Hii ni habari njema kwa Wakazi wa Mwananyamala na Kinondoni
Kisimani Maji ni mengi na Kisima hiki ni mkombozi kwa wakazi wa maeneo husika
Source ITV habari
Dar es Salaam
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa...
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama ilikuwa ni lazima amsifie Hayati Magufuli kwamba, hakopi fedha na miradi mikubwa yote unatumia fedha za ndani.
Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza...
Kwa sasa nchi nyingi za Afrika zisizo na uwezo wa kudhibiti ubora wa bidhaa au nchi ambazo zina mifumo ya hovyo ya kudhibiti ubora wa bidhaa, kama ilivyo Tanzania, wananchi wake wanaingia hasara...
Nimeshangaa Halotel wamepandisha gharama za vifurushi vyao paspo taarifa yoyote Waziri wa habari upo kwa ajili ya Nini hapo?
Kkwa Nini mnatugeuza watanzania mindondocha hisiyo na Akili Timamu?